Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

Sasa hapa JF umelileta tukusaidie nini?
 
Ungempa tu, kwani shi ngapi...

Ungempa sio kumkopesha...
Ingekuwa ni wewe ungemkopesha mwanaume mliefanya kazi kwenye kampuni moja kwa miezi sita, tsh elf 50 ilhali asilimia 65 ya mshahara wako umeutumia kulipa madeni na huyo mwanaume sio mumeo, sio ndugu wala sio boyfriend wako? Donatila
 
Huyo demu alikuwa na shepu mbovu mkuu a.k.a flat screen au Mzee wa kupambania
 
Hapo mbona wewe ndio kama unajishtukia kijana????

Ulijuaje kajibu kinyonge wakati ni maandishi tu??

Kwan mtu ni lazima kujibu text?
 
😂😂😂😂
Kudaaadekii...Hadi wito wa polisi? Kwel mkuu ulikua serious!??

Sasa ujue nini, akimaliza hiyo 50k, buy buy time halaf mtengenezee mazingira umgonge sasa!😆😆
 
Bila shaka huyo ana lake jambo tu, either umpe hela na umle ama uingie chaka umtongoze then awe anakuchuna , yte hyo ni mitego yake anakuwekea.

Wanawake weng wanadhan kila mwanaume ni dhaifu juu yao ya kwamba chochote atakachokitaka kwako utampa tu hvhv
 
Duh haha, mkuu hpo ulikaza San aisee bila huruma big up
 
Sio kila mwanamke ni wakutongoza, wengine waache wabaki marafiki tu wa kawaida.
Tatizo ukiwa na urafiki na mwanamke na hujamtongoza, yeye (mwanamke) anakua anaamini kwamba unamtaka ila huna confidence ya kumtongoza!

Kwahiyo anakua anakuona kama domo zege flani tuu japo kichwani anadhani ipo siku tu utakuja kumtongoza. Wanawake hua hawaamini kabisa kwamba anaweza kuwa rafiki yako na usimtongoze, hasa kama anajijua ni mzuri. Ndio maana anaweza kuanza kukuomba hela, kukukopa nk na ukimnyima ananuna manake anaona kama humhudumii.

Binafsi sijawahi kamwe kuwa na urafiki na mwanamke ambae simkuli.
 
Duh haha, mkuu hpo ulikaza San aisee bila huruma big up
Ndio kama ulivyosema wao wanadhani kila mwanamume ni dhaifu.

Anataka kuishi maisha expensive amepanga apartment ya gharama akitegemea hela za wanaume. Atawachuna wadhaifu tu
 
Haha..kakutana na bandidu kwel kwel....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…