Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Gwajima ni mwizi wa kura ni mchafuKumekuchwa!
Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka.
Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja, pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Gwajima anaambiwa ngoma sio yake, lakini anaicheza. Gwajima anaambiwa amesema mambo yasiyomhusu. Ameingilia mambo yasiyomhusu.
Anafanya mambo ambayo hakupaswa afanye kwani wenye Ngoma wapo.
Kwamba, Gwajima hujatekewa hata ndugu yako yeyote, hakuna ndugu yako yeyote aliyeuawa. Wanatekwa na wanauawa wa wengine. Wewe inakuhusu nini?
So many! Sio mwana!
Haya!
Sabato Njema
Huyo Mwenye ngoma ni nani?
Gwajima ni mwizi wa kura ni mchafu
Jezebel kazingua leo, ndo kwanza kajionesha
Dakota kifaruuHuyo Mwenye ngoma ni nani?
Gwajima alianza na kufufua wafu kanisani kwake akakwama, akataka kuwapeleka wananchi wapiga kura wa kawe china na marekani akakwama, akataka kuwaletea wapiga kura wavuvi wa kawe boti za kisasa za uvuvi akakwama, akataka kujenga reli ya kisasa kawe akakwama,Kumekuchwa!
Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka.
Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja, pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Gwajima anaambiwa ngoma sio yake, lakini anaicheza. Gwajima anaambiwa amesema mambo yasiyomhusu. Ameingilia mambo yasiyomhusu.
Anafanya mambo ambayo hakupaswa afanye kwani wenye Ngoma wapo.
Kwamba, Gwajima hujatekewa hata ndugu yako yeyote, hakuna ndugu yako yeyote aliyeuawa. Wanatekwa na wanauawa wa wengine. Wewe inakuhusu nini?
So many! Sio mwana!
Haya!
Sabato Njema
Gwajima alianza na kufufua wafu kanisani kwake akakwama, akataka kuwapeleka wananchi wapiga kura wa kawe china na marekani akakwama, akataka kuwaletea wapiga kura wavuvi wa kawe boti za kisasa za uvuvi akakwama, akataka kujenga reli ya kisasa kawe akakwama,
ukiangalia yote haya,
kabisa hata hayakua majukumu ya nafasi yake. Na ndio maana anakosea kila ngoma anayojaribu kucheza kwasabb sio yake 🐒
Rais kasahau angemsikiliza na Roma Wanaomkosoa ndio wanampenda wanaomsifia wengi maadui. Ili wapate teuzi ndo wanamlamba miguu. Wakimpamba hawamsaidii Amiri Jeshi Mkuu
Mimi sipendi ngoma za kiswahili. Napenda za singeli tu.Kumekuchwa!
Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka.
Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja, pilipili usiyoila yakuwashia nini?
Gwajima anaambiwa ngoma sio yake, lakini anaicheza. Gwajima anaambiwa amesema mambo yasiyomhusu. Ameingilia mambo yasiyomhusu.
Anafanya mambo ambayo hakupaswa afanye kwani wenye Ngoma wapo.
Kwamba, Gwajima hujatekewa hata ndugu yako yeyote, hakuna ndugu yako yeyote aliyeuawa. Wanatekwa na wanauawa wa wengine. Wewe inakuhusu nini?
So many! Sio mwana!
Haya!
Sabato Njema
Kwahiyo wanaona ni vizuri raia kutekwa?
Wote wanaoshabikia CCM hawajielewi ni vichwa maji
Mimi sipendi ngoma za kiswahili. Napenda za singeli tu.
Yule mzee kuna vitu anajua na bila shaka hakukubaliana navyo na alihoji huko alikokua, mpaka anaweka ile press bila shaka alijua mlipuko wake utakuwaje kwa kuwagusa wakubwa moja kwa moja.
Tutendeane wema na tuishi kwa upendo.
Matukio ya kutekana, kuuana, kudhulumiana, kutesana, kubambiakiana kesi na mengine yafananayo na hayo ni ushetani na adhabu yake ni moto wa milele siku ya kiyama
Gwajiboy aliongea vitu vya kawaida tu ambavyo Chadema wameviimba sana. Tofauti tu yeye ni mwanaccmAtatoboa?
Jibu hawezi