Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

Tukutane madhabahuni jumapili hii tena waambieni chawa wajae pale kanisani.
Mama ajiandae na taarabu nyingine ya kujibu
 
Kumekuchwa!

Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka.

Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja, pilipili usiyoila yakuwashia nini?

Gwajima anaambiwa ngoma sio yake, lakini anaicheza. Gwajima anaambiwa amesema mambo yasiyomhusu. Ameingilia mambo yasiyomhusu.

Anafanya mambo ambayo hakupaswa afanye kwani wenye Ngoma wapo.

Kwamba, Gwajima hujatekewa hata ndugu yako yeyote, hakuna ndugu yako yeyote aliyeuawa. Wanatekwa na wanauawa wa wengine. Wewe inakuhusu nini?

So many! Sio mwana!

Haya!
Sabato Njema
Ninyi wenye elimu ya kuandika riwaya, tumieni kalamu zenu kuliponya taifa.

Hapa unaandika kwa kupapasa kichawa chawa na kuuma maneno kwa habari hii kubwa iliyoligawa taifa kwa mtindo huo kweli!

Hayo maneno yanayotoka kwenye vinywa vya mashetani nawe wayashadadia na kuyafurahia?

Gwajima kasema Serikali inafadhili wauaji na ana orodha ya wahanga, je kuna mtu yeyote kuanzia Rais mwenyewe na machawa wake kazijibu hoja zaidi ya kuzomea na kuimba Ccm?

Tunaowaheshimuni Jf jaribuni kujizuia kuchochea hasira za umma kwa kudhani kuna mtu anafurahia kauli zenu.
 
Tutendeane wema na tuishi kwa upendo.
Matukio ya kutekana, kuuana, kudhulumiana, kutesana, kubambiakiana kesi na mengine yafananayo na hayo ni ushetani na adhabu yake ni moto wa milele siku ya kiyama
Kabisa mkuu...
 
  • Thanks
Reactions: K11

Hayo maneno yanayotoka kwenye vinywa vya mashetani nawe waishadadia na kuyafurahia?

Gwajima kasema Serikali inafadhili wauaji na ana orodha ya wahanga, je kuna mtu yeyote kuanzia Rais mwenyewe na machawa wake kazijibu hoja zaidi ya kuzomea na kuimba Ccm?

Tunaowaheshimuni Jf jaribuni kujizuia kuchochea hasira za umma kwa kudhani kuna mtu anafurahia kauli zenu.

Kimya nacho ni jibu.
Alichosema Gwajima hakuna aliyekipinga kumaanisha ni Kweli.
Jukumu lililobaki ni kwenu
 
Tutendeane wema na tuishi kwa upendo.
Matukio ya kutekana, kuuana, kudhulumiana, kutesana, kubambiakiana kesi na mengine yafananayo na hayo ni ushetani na adhabu yake ni moto wa milele siku ya kiyama
Inasikitisha sana kama Taifa
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ninyi wenye elimu ya kuandika riwaya, tumieni kalamu zenu kuliponya taifa.

Hapa unaandika kwa kupapasa kichawa chawa na kuuma maneno kwa habari hii kubwa iliyoligawa taifa kwa mtindo huo kweli!

Hayo maneno yanayotoka kwenye vinywa vya mashetani nawe wayashadadia na kuyafurahia?

Gwajima kasema Serikali inafadhili wauaji na ana orodha ya wahanga, je kuna mtu yeyote kuanzia Rais mwenyewe na machawa wake kazijibu hoja zaidi ya kuzomea na kuimba Ccm?

Tunaowaheshimuni Jf jaribuni kujizuia kuchochea hasira za umma kwa kudhani kuna mtu anafurahia kauli zenu.
Ngoma siyo yake Ngoma ni ya chadema
 
Kwa CCM ni ukosefu wa adabu kumkosoa Mwenyekiti au Mkubwa wako.
Hiyo KAZI waachie wasio CCM
Ndio kauli ya Ngoma sio yako unaicheza
kwa Chadema makamu mwenyekiti akimkosea mwenyekiti anatangaza kwenye vyombo vya habari kwamba haendi tena kumanga msosi wa bure nyumbani kwa mwenyekiti, kwasabb wanaweza kumuwekea sumu, na kuelekea Chadema HQ Lazima kuvaa bullet proof vest 🐒
 
Aliyesema ccm hata maji ya kunywa hawaachiani mezani ni mwenyekiti mstaafu wa ccm, kikwete.
 
Back
Top Bottom