Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

Gwajima alianza na kufufua wafu kanisani kwake akakwama, akataka kuwapeleka wananchi wapiga kura wa kawe china na marekani akakwama, akataka kuwaletea wapiga kura wavuvi wa kawe boti za kisasa za uvuvi akakwama, akataka kujenga reli ya kisasa kawe akakwama,

ukiangalia yote haya,
kabisa hata hayakua majukumu ya nafasi yake. Na ndio maana anakosea kila ngoma anayojaribu kucheza kwasabb sio yake 🐒
Haijalishi, ila huyu mamako ni empty head kabisa...hakuna kitu pale!
 
Back
Top Bottom