Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule.
Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia.
Uzuri switch iko hapahapa kitandani, nikakuta ni paka taa ilipowaka akaanza kuhangaika namna ya kutoka kwenye chandarua.
Najiuliza mlango na madirisha nilkuwa nimefunga, kaingiaje? Amewezaje kuingia kwenye net.
Nimejichunguza, siòni damu, ila nina maumivu. Nimemfungulia mlango aende zake. Nimefikia nyumbani kwa ndugu wa mke wangu, walinikatalia kabisa nisilale gesti