Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

Ukitombaa malaya hakikisha unanawanna maji ya sabuni

Mzee mmoja marandu Tajiri alilala na malaya kurudi home mbwa wake Wakarusa harufu ya nyama mbichi ya papuchi wacha wamng'ate aliensa kutibuwa India maana bongo wangekata tu [emoji1]
Ambrose kingunge nae tuseme hivo punguza uongo
 
🤣🤣🤣 boss mbona umekua mkali sanaa?

Punguza ushauri, ukale, Imani ya kupigwa kila kitu, kuamini ushirikina sana...

Halaf relaaaax, ni hali za kupitaa
Survival - Destiny's Child.
 
Wahi hospital ukapige sindano, paka ana Sumu mbaya sana tena affect mpaka maini.

Usiseme hujatoka damu, kitendo cha kukung'ata tu chukuwa hatuwa, katika hali ya kawaida paka huwa hang'ati binadamu mpaka umchokoze, na watu wengine tu wanalala na paka kitandani hawana tatizo lolote.

Open your eyes.
 
Asante kwa ushauri mzuri
 
Haya yote umeyaandika kutokana na hisia hasi zako, hadi unadiriki kusema ndoa yangu ina miaka mitano.

Hapo kuna jambo gani la siri ambalo nime disclose? Je tukionana leo ana kwa ana utatambua kwamba mimi ndiye msimuliaji wa tukio hili?
 
Vile vile paka hupenda kucheza na vitu kwahiyo jamaa anapoongea na mke wake labda hisia zilipanda. Huenda baaada ya hisia kupanda hiyo kitu ikainuka ikaanza kucheza cheza hivyo paka akaona acheze nayo lakini ghafla akaona ni laini ndiomaana akatest kuingata alipoona utofauti akaacha. Angekuwa na Nia ya kushambulia angemuumiza vibaya Sana.
 
Kama paka amekata kabisa, niachie tu mkeo maana hautakuwa na matumizi nae.
 
Inawezekana pia aliingia wakati mlango uko wazi akajificha uvunguni bila wewe kujua.
 
Ukaamua kabisa kulala uchi ukweni mkuu?
 
Daaah mkuu pole sana, ila shukuru ulilala chali kama ungekuwa umelala kifudifudi AMBACHO angekufanya usingekuja adithia humu.
 
Fanya safari zako kimya kimya,
huwezi kukosa excuse ya kukataa mualiko wa kwenda kulala kwa ndugu.Nenda salimia ondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…