Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

Watu wengi wanaotokwa jasho jingi utupuni huwa wanatoa harufu ya utupu hata wakioga.
Huenda paka alifuata harufu akaona dhakari inafanana na nyama.
Muhimu kapate chanjo ya kichaa cha mbwa (rabies vaccine).

Uking'atwa na mbwa, paka, popo, fisi au mbwea(bwea/jackal) lazima upate chanjo vinginevyo unakikaribia kifo ndani ya miezi michache.
 
Pole sana, huyo paka alidhani amepata bonge la steki ajitwalie na kuanza kula kiulaini
 
Ukienda mikoa ya watu kama kuna vitu umevaa mikononi kama kalcha zivue.vijiji vingi mambo ya kalcha sijui vishanga bendera ya kenya au tanzania hawajui.wakiona umevaa wanajua umejizatiti hivyo wanakutega km upo njema.unaweza liwa kiboga man kwa kujua au kutojua
 
Ukitombaa malaya hakikisha unanawanna maji ya sabuni

Mzee mmoja marandu Tajiri alilala na malaya kurudi home mbwa wake Wakarusa harufu ya nyama mbichi ya papuchi wacha wamng'ate aliensa kutibuwa India maana bongo wangekata tu [emoji1]
[emoji103][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636][emoji1636]🧉[emoji481]
 
Paka anapenda samaki
Mwanamke akiwa na STI hususani TV anakua na fishy odor (yan nyapu inakua kama ferry)
Paka kajua samaki tena kwa sababu ni giza kapekenyua kajua anafunua sufuria kakuta perege na bilinganya
Pole
 
Wake za watu huko ni hatari sana, usijaribu kuchukua bila mwenyeji kukuelekeza.
 
Paka vs Nyoka nakumbuka Jack chan anakupiga style zote mbili😅😅
 
Juma nature nae kwenye mzee wa busara alijiuliza "rashidi mlango kafunga, madrish nayo yalifungwa, sasa kapita pitaje, kwenye kuta au kwenye nyufa" 🤣

Pole mzee.
na akaja akatung'ata sikio kuwa ni mtani jirani.
 
Kama unatabia ya kubadili wanawake nje ya NDOA acha.

Unafungwa spidi governor soon.
 
Nilishawahi ng'atwa na paka tangu ninamiaka 6 na sikupata Antirabies vaccine mkuu na mpaka leo nipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…