Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

Kigongoi kwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2018
Posts
571
Reaction score
676
Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile.

Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia mahakama kwa sababu njia za kawaida za kudhibiti zimeshindwa.
Watawala kwa sasa wanafanya ufisadi wa kutisha na wanahofu kwamba akitoka atayazungumza yoote.

Watawala wameuza bandari na hata viwanja vya ndege vitauzwa. Kuna mengine yaliyojificha kwenye utawala huu ambapo yatafichuliwa zaidi akiwa nje.

Kwenye mazingira kama hayo hawawezi kabisa kumuachia na wakimuachia itakuwa kazi (Shido) in Bambo voice😊😊.

Huyu amenyooka zaidi ya kunyooka
 
Subiri wakata mauno wa ajuza wa kizimkazi Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa waje wakate miuno na vijora vyao hapa
 
Mung
Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile.
Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia mahakama kwa sababu njia za kawaida za kudhibiti zimeshindwa.
Watawala kwa sasa wanafanya ufisadi wa kutisha na wanahofu kwamba akitoka atayazungumza yoote.
Watawala wameuza bandari na hata viwanja vya ndege vitauzwa. Kuna mengine yaliyojificha kwenye utawala huu ambapo yatafichuliwa zaidi akiwa nje.
Kwenye mazingira kama hayo hawawezi kabisa kumuachia na wakimuachia itakuwa kazi (Shido) in Bambo voice😊😊.
Huyu amenyooka zaidi ya kunyooka
Mungu ni Mwema watageukana wao Kwa wao!
 
Sasa kumshikilia itasaidia nini ? Zaidi yakuendelea kujichafua kimataifa ? Ni vema wamwachie huru kurejesha Taifa lililopotea
Hawajali kuchafuka nje hao,Kuna kipindi walisema wao ni nchi huru,kifupi hawana aibu, watakachokifanya ni kumtuma wa mambo ya nje kufanya ku standardized mambo.
 
Acha waendelee kumuweka kizuizini, Mh Lissu kwa sasa ni legend na shujaa wa taifa, wanazidi kujimaliza wenyewe kisiasa!
 
Huko mahakamani DPP na mawakili wake, wameshindwa kabisa kuthibitishwa kosa la uhaini lililotengenezwa (bumbwa) ndani ya ofisi ya DCI Ramadhani Kingai..

Badala yake wameanza kuutafuta uhaini kwenye pesa za TONETONE labda inawezekana Tundu Lissu hayo mabomu na bunduki za kufanyia uhaini kumtishia usalama Rais, Makamu wa Rais na Serikali kwa maana ya serikali zimefichwa kwenye tonetone🤪🤪
 
Back
Top Bottom