Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 571
- 676
Subiri wakata mauno wa ajuza wa kizimkazi Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa waje wakate miuno na vijora vyao hapaWatawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile.
Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia mahakama kwa sababu njia za kawaida za kudhibiti zimeshindwa.
Watawala kwa sasa wanafanya ufisadi wa kutisha na wanahofu kwamba akitoka atayazungumza yoote.
Watawala wameuza bandari na hata viwanja vya ndege vitauzwa. Kuna mengine yaliyojificha kwenye utawala huu ambapo yatafichuliwa zaidi akiwa nje.
Kwenye mazingira kama hayo hawawezi kabisa kumuachia na wakimuachia itakuwa kazi (Shido) in Bambo voice😊😊.
Huyu amenyooka zaidi ya kunyooka
Mungu ni Mwema watageukana wao Kwa wao!Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile.
Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia mahakama kwa sababu njia za kawaida za kudhibiti zimeshindwa.
Watawala kwa sasa wanafanya ufisadi wa kutisha na wanahofu kwamba akitoka atayazungumza yoote.
Watawala wameuza bandari na hata viwanja vya ndege vitauzwa. Kuna mengine yaliyojificha kwenye utawala huu ambapo yatafichuliwa zaidi akiwa nje.
Kwenye mazingira kama hayo hawawezi kabisa kumuachia na wakimuachia itakuwa kazi (Shido) in Bambo voice😊😊.
Huyu amenyooka zaidi ya kunyooka
Hawajali kuchafuka nje hao,Kuna kipindi walisema wao ni nchi huru,kifupi hawana aibu, watakachokifanya ni kumtuma wa mambo ya nje kufanya ku standardized mambo.Sasa kumshikilia itasaidia nini ? Zaidi yakuendelea kujichafua kimataifa ? Ni vema wamwachie huru kurejesha Taifa lililopotea