kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
CHADEMA hawajitambui kwa kujiita chama kikuu cha upinzani huku bungeni wana kiti kimoja tu cha kuchaguliwa na wananchi. Wamekua hawakubali ukweli kwamba hawana ridhaa ya wananchi kuongoza nchi hii.
CHADEMA huku wakifuata ushauri wa mabeberu wasiyoitakia heri nchi wamekua wakidai wameporwa ushindi uchaguzi mkuu 2020.
Utulivu wa nchi kisiasa na amani baada ya uchaguzi ilionekana ni wazi ushindi mkubwa wa CCM chini ya uongozi wa magufuli kilikua kitu sahihi. Ushindi mkubwa wa CCM chini ya uongozi wa magufuli ulitegemewa sio na watanzania tu ila ulimwengu kutokana na kukubalika magufuli kwa maendeleo makubwa yaliyoletwa kwa muda mfupi chini ya CCM ya Magufuli.
Tunaona sasa chadema ili kuleta ghasia na kuvuruga utulivu wa nchi wanakuja na uanaharakati wa kuipotezea nchi malengo ya maendeleo ili tuanze kujihusisha na mambo hayana tija.
CHADEMA wanajifanya kama vile suala la katiba halijashughulikiwa na wao wakiwa wachache walijitoa bunge la katiba waliyobaki wakakamilisha kuandaa katiba mpya.
Kama shida yao ni katiba mpya katiba mpya ipo kilichokua kimebaki ni kupigiwa kura tu.
Hata hivyo kwa kua wapinzani ndio waliyokua wanadai katiba mpya kuliko CCM Serikali imegundua suala hilo linatumika na wapinzani kufanya siasa tu kwa hivyo wao wameamua demokrasia ya kweli ni kujihusisha na kujenga uchumi wa nchi wenye kuwafaidi umma kwa kua katiba iliyopo ni nzuri na inatosha.