Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Nilikwambia ukajifanya unaona aibu wenzio wanambeba ππππ
ππππNilikwambia ukajifanya unaona aibu wenzio wanambeba ππππ
Wewe pia nilikupenda ila avatar yako inaonesha hauko romantic, uko kama mwanasheria vile.Nilikwambia ukajifanya unaona aibu wenzio wanambeba ππππ
Sawa vichekesho, endelea kutuchekesha πππWewe pia nilikupenda ila avatar yako inaonesha hauko romantic, uko kama mwanasheria vile.
Ww umepona si juzi tu ulikuwa unatupa ndoano kwa da Mau au unafikiri tumesahau ππππJamani huu Upweke unataka kuwa ugonjwa wa hatari kuliko hata Corona, dengue, ukimwi nk
Tujaribu kuangalia namna ya kuukabili,πππ
Never ever dishi liliyoyumba lile aiseee hata kama atatanua for free sina kabisa hata hisia zake. Nilikuwa namshauri tu na kumbe hata muelekeo wenyewe hanaWw umepona si juzi tu ulikuwa unatupa ndoano kwa da Mau au unafikiri tumesahau ππππ
umeamua kujisifia kwamba unajipenda
NAKAZIAWatu mnajitekenya na kucheka