mtu watu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,123
- 1,617
Hahaha.. Nilijua ulijadili ktk coment nilizompa asante.. Mleta uzi ni mtu baki..Haha sasa siujitambulishe tu kuwa ni wewe kuliko kufungua uzi nakujifanya kuwa una sifiwa na shabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. Nilijua ulijadili ktk coment nilizompa asante.. Mleta uzi ni mtu baki..Haha sasa siujitambulishe tu kuwa ni wewe kuliko kufungua uzi nakujifanya kuwa una sifiwa na shabiki
hahaa ney huna lolote una mult ids humu" ... then wajitekenya na kucheka mwenyeweHahaha.. Nilijua ulijadili ktk coment nilizompa asante.. Mleta uzi ni mtu baki..
Kutomchana mtu mwanzo mwisho hakuondoi uanaume wa mtu husika.. Pia kumchana mtu mwanzo mwisho ni ujinga na kunaufanya wimbo ubohe sana, hyo siyo diss track.. Ukitaka kuchanwa wimbo wote anayeweza kazi ni baina ya bifu ya msanii na msanii.. Mfano khaligraph jones na octopizzo..Angekuwa mwanaume angemchana mwanzo mwisho lkn kauma na kupuliza ubeti wapili anasema maendeleo anayaona na anasifia, kisha akawaponda jamaa zangu wa ufipa wasipingepinge kila kitu, jiwe atake nini tena tena?
Na simu ya kumpongeza nasikia kapiga jifanye sasa mwanaume upeleke bendera chuma, mlingoti chuma uuone moto wake.
Unafikiri Ney anakaa dar pekee?Mkuu
Mwanaume wa mkoani hawezi kuandika post kama hii trust me
Mikoani kila mtu shujaa
Fikra zenu ni mbaya tatzo mnataka tusisifiane kisa nini? Kwani kuna ubaya gani?Mwanaume kusifia mwanaume mwezie ni..
Hahah, hapana mkuu wala mleta mada simjui trust me!hahaa ney huna lolote una mult ids humu" ... then wajitekenya na kucheka mwenyewe
wajua kuwa mimi ni mod nitaunganisha ids zako uje kuumbuka Ney wa mitegoHahah, hapana mkuu wala mleta mada simjui trust me!
Hahah, itakuwa vizuri kama nikiumbuka ila ukweli wangu haulazimishwi kuupokea.. Mleta mada simjui braza kaka!wajua kuwa mimi ni mod nitaunganisha ids zako uje kuumbuka Ney wa mitego
Rais sio wa dar ni mtoto wa chatoUnafikiri Ney anakaa dar pekee?
Au mleta mada anakaa dar pekee?
Ni fikra zenu, cha kushangaza hata Rais wenu anakaa dar! Hamjiulizi wanaume wa dar ni wanaume wenye ufahamu zaidi kuweza kupambana na maisha kila yanavyokuja, si unajua hapa dar kila kitu pesa bila kuchakarika hauli.. Kuliko wa mkoani ukienda shamba umepata mhogo, viazi, nk tena bure labda nguv ndyo mtaji wako.. Mim wa dar ntakuagiza uniletee nikulipe.
Sasa kama wamezaliwa dar unataka waitwe wanaume wa kigoma wakati wamezaliwa dar?Rais sio wa dar ni mtoto wa chato
Dar anafanya kazi tu
Mwanaume wa dar ni yule aliyezaliwa dar
Sasa kama wamezaliwa dar unataka waitwe wanaume wa kigoma wakati wamezaliwa dar?Rais sio wa dar ni mtoto wa chato
Dar anafanya kazi tu
Mwanaume wa dar ni yule aliyezaliwa dar
Siku hizi haimbi naniii nasikia walimtekaa wakamnanii.Roma mkatoliki
Mbavu Sina yan ww Ni kibokoooMwanaume unapousifia "UANAUME WA MWANAUME MWENZIO" inabidi sisi nao tuanze kuhoji kuhusu UKAMILIFU WA UANAUME WAKO
acha kujisifu mkuu wimbo wako wa kawaida tuNdiyo ninayo kwa kuwa Jf ni ya watu na siyo ya wadudu[emoji23]
Hahah sikuping mtazamo wako huo haupaswi kukataliwa.acha kujisifu mkuu wimbo wako wa kawaida tu
Sasa sijui shemeji yetu atamsifia nani kati yeye au ney!!Mwanaume kusifia mwanaume mwezie ni..
Mwanaume unapousifia "UANAUME WA MWANAUME MWENZIO" inabidi sisi nao tuanze kuhoji kuhusu UKAMILIFU WA UANAUME WAKO