Sio siri ney wa mitego nae ni mwanaume

Sio siri ney wa mitego nae ni mwanaume

Haha sasa siujitambulishe tu kuwa ni wewe kuliko kufungua uzi nakujifanya kuwa una sifiwa na shabiki
Hahaha.. Nilijua ulijadili ktk coment nilizompa asante.. Mleta uzi ni mtu baki..
 
Angekuwa mwanaume angemchana mwanzo mwisho lkn kauma na kupuliza ubeti wapili anasema maendeleo anayaona na anasifia, kisha akawaponda jamaa zangu wa ufipa wasipingepinge kila kitu, jiwe atake nini tena tena?

Na simu ya kumpongeza nasikia kapiga jifanye sasa mwanaume upeleke bendera chuma, mlingoti chuma uuone moto wake.
Kutomchana mtu mwanzo mwisho hakuondoi uanaume wa mtu husika.. Pia kumchana mtu mwanzo mwisho ni ujinga na kunaufanya wimbo ubohe sana, hyo siyo diss track.. Ukitaka kuchanwa wimbo wote anayeweza kazi ni baina ya bifu ya msanii na msanii.. Mfano khaligraph jones na octopizzo..

Lakini hpa napaswa kuzungumzia mambo muhmu.
 
Mkuu
Mwanaume wa mkoani hawezi kuandika post kama hii trust me
Mikoani kila mtu shujaa
Unafikiri Ney anakaa dar pekee?

Au mleta mada anakaa dar pekee?

Ni fikra zenu, cha kushangaza hata Rais wenu anakaa dar! Hamjiulizi wanaume wa dar ni wanaume wenye ufahamu zaidi kuweza kupambana na maisha kila yanavyokuja, si unajua hapa dar kila kitu pesa bila kuchakarika hauli.. Kuliko wa mkoani ukienda shamba umepata mhogo, viazi, nk tena bure labda nguv ndyo mtaji wako.. Mim wa dar ntakuagiza uniletee nikulipe.
 
wajua kuwa mimi ni mod nitaunganisha ids zako uje kuumbuka Ney wa mitego
Hahah, itakuwa vizuri kama nikiumbuka ila ukweli wangu haulazimishwi kuupokea.. Mleta mada simjui braza kaka!
 
Unafikiri Ney anakaa dar pekee?

Au mleta mada anakaa dar pekee?

Ni fikra zenu, cha kushangaza hata Rais wenu anakaa dar! Hamjiulizi wanaume wa dar ni wanaume wenye ufahamu zaidi kuweza kupambana na maisha kila yanavyokuja, si unajua hapa dar kila kitu pesa bila kuchakarika hauli.. Kuliko wa mkoani ukienda shamba umepata mhogo, viazi, nk tena bure labda nguv ndyo mtaji wako.. Mim wa dar ntakuagiza uniletee nikulipe.
Rais sio wa dar ni mtoto wa chato
Dar anafanya kazi tu
Mwanaume wa dar ni yule aliyezaliwa dar
 
Rais sio wa dar ni mtoto wa chato
Dar anafanya kazi tu
Mwanaume wa dar ni yule aliyezaliwa dar
Sasa kama wamezaliwa dar unataka waitwe wanaume wa kigoma wakati wamezaliwa dar?

Magufuli kazaliwa chato na mimi nimezaliwa mwanza lakini nipo dar?

Na kwa nini mnajumuisha wote kuwa ni wanaume ma dar?

Je ukiwa mzaliwa wa dar ukaenda mkoani utaitwaje?
 
Katika nyimbo hii ameng'ata na kupuliza..hana lolote kama angeamua mbwai mbwai tuu ika kafanya hovyo
 
Kweli kabisa umekir ney ni mwanaume zaid yako? [emoji3][emoji3] mkeo asikuskiee doh
 
Back
Top Bottom