Sio siri tena, matokeo chanya ya Majaliwa hadharani

Sio siri tena, matokeo chanya ya Majaliwa hadharani

Embu iachwe ifanyike tupone!

Maana mliopo! Hamfai Kwa lolote
Na hii vita sio ya mama hii ni vita ya makundi mawili yaliyo nje kundi moja linaongoza kutokea nje lingine haliongozi Kwa hiyo lazma wajipange mapema kuandaa mtu wao si unajua huyu aliepo Hana ndugu huku? Lile kundi limempa undugu wa mchongo nalo pia Lina mtu wao [emoji3]
 
Maji hupwa na kujaa, dhoruba huibuka na kufanya yake, mwisho wa siku maji hurejea kwenye usawa wake

Mungu inusuru Tanzzania dhidi ya wenye nia ovu kupitia madaraka
Kutafuta madaraka siyo Nia ovu, mbowe, lissu, maalim self( r.i.p) nk wametafuta madaraka miaka na miaka na hakuna anayeamsema wana Nia ovu.
Hata majaliwa akitafuta madaraka ni sawa tuu maana hata samia nae anatafuta madaraka 2025.
 
Hili ni jambo zuri kabisa kama mzee membe alivyotaka ku change status quo ha ccm kwa kutaka kumchallenge hayati JP.

Ni masuala ya kisomi zaidi haya ya ku challenge status quo. Changes
 
Kutafuta madaraka siyo Nia ovu, mbowe, lissu, maalim self( r.i.p) nk wametafuta madaraka miaka na miaka na hakuna anayeamsema wana Nia ovu.
Hata majaliwa akitafuta madaraka ni sawa tuu maana hata samia nae anatafuta madaraka 2025.
Ninakozungumzia ni kukanyagana ndani ya chama chetu
 
Achana na hilo puuzi. Haitawezekana hata siku moja tz ikaongozwa na mbwatukaji.

Alibwatuka Nini? Lissu ni mpuuzi kwa lipi? alisababisha serikali ikafunga mtandao wa internet kipindi cha uchaguzi wa 2020 na Lissu kamfanya Rais aandae ziara ya ubelgiji na kukutana naye personaly. Wewe mwenye akili unao huo uwezo?.
 
Wewe unaona msoga wanakoipeleka nchi Kuna usalama? Badala ya kulaumu mafisadi yaliyoko madarakani kwa sasa unalaumu wanaotaka kuuondoa huu ulaji kwa urefu wa makamba Yao.
Wote wanatafuta kula tu
Hao waliopo madarakani na wanaotaka kuwapiku wote wana agenda moja
 
Mbio za uchaguzi 2025 zimeshaanza.

Wameshaanza kuonyesha rangi zao mdoho mdogo.Hii nchi bila CCM tungekuwa mbali Sana.
Usitegemee wanasiasa hata siku moja..., CCM ni vehicle tu wachumia tumbo ni wale wale ndio watakwenda hapa au pale...

Labda useme upinzani utakuwepo CCM ikifa (sababu kutokana na kujilimbikizia mali kwa wizi ni vigumu kuondoka hapo ukizingatia hizi Siasa za wenye Njaa)

Ukizingatia hivi vyama haviongozwi na ideologies bali platforms za kuwafikisha kwenye ulaji hence utofauti wa sera au manifesto zao zote ni ngojera tu za kupata kura ya kula
 
Ambalo linaundwa na viongozi waandamizi wa awamu ya tano wa Serikali na chama, Kiongozi wao Mkuu ni Kitila Mkumbo, Katibu ni Mwita Waitara akisaidiwa na Mpina na Lusinde.
Nilipoona wamemtaja lusinde mara moja nilicheka sana kwa kujua kikundi hiki hakina weledi, malengo wala dira! In short; sio kundi makini
 
Back
Top Bottom