Sio siri tena, matokeo chanya ya Majaliwa hadharani

Kinachokuuma ni nini mpaka mtasema poo
 
 
Huwa wanawaza madaraka kwa tamaa zao binafsi sio kwa ajili ya maslahi ya nchi, na ukiwazuia una ondolewa njiani
Walitaka nafasi wakapigwa pini ndani ya chama. Wengine ni Vijana wadogo ambao huwezi kuwadhania wanashirikiana na wachawi kuhujumu Serikali.
 
Huyu Mpina ambaye jina lake litakatwa?
 
Kama uchaguzi ni WA kidemocrasia na WA vyama vingi,kwa nini kuchaguana na kujipanga kwa uchaguzi wa 2025? Mnajuaje maamuzi ya watanzania wa leo kuhusu 2025? Ndio maana katiba mpya inahimizwa ili matokeo ya urais wenye mashaka uhojiwe mahakamani; maana inaonyeshwa wa 2025 umehujumiwa tayari
 
Kwa hiyo vuta nikuvute yote hii na mapambano ya ooh tunalinda legacy ya aliekufa
Wakati akiwa Rais walimsaidia kwa lipi? Kuzuia wizi na ubadhirifu wa mali za umma au

Kama wangesema watahakikisha tunapanda haraka kiuchumi kwa kuweka nguvu za watu 10 badala ya mmoja sawa
Ila kama wanapigania matumbo yao na wake zao please
 
Sasa hawa ng'ombe wasio na mkia wata fanya nini ndani ya chama kubwa?
 
Ulipomuweka Raphael Chegeni nikajua umeandika kujifurahisha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…