Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

Dodoma ni kijiji kilochochangamka,mimi nafanya kazi dodoma ila karibia kila weekend nipo Dar na sio mimi peke yangu hadi maboss ndo utaratibu huo..Na kwa taarifa yako SGR ikikamilika ndo kabisa tutakuwa tunakaa dar kazi dom
 
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.

1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.

2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai

3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo

4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos

5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.

6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.

7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow

8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto

Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.

Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.

Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Australia pia hivyo hivyo, Makao Makuu ni Brisbane lakini Jiji kuu la Kibiashara ni Sydney.
 
canberra Australia jiji kubwa Sydney

Australia jiji kubwa Sydney
 
UAE makao mkauu Abu Dhabi
Jiji Kubwa Dubai

India Makao Makuu Delhi
Jiji Kubwa Mumbai
 
Tatizo kubwa la Tz nikuwa huko Dodoma wanapokuita makaomakuu ni Kijiji sio Mji
 
Cha kushangaza chama kikuu cha upinzani hakina ofisi kwenye makao makuu ya nchi.
 
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa mifano michache maarufu.

1. United States of America.
Makao makuu: Washington DC
Jiji kubwa la kibiashara: New York City.

2. Peoples Republic of China.
Makao Makuu: Beijing
Jiji kubwa : Shanghai

3. Federal Republic of Brazil
Makao makuu: Brasilia
Jiji kubwa: Sao Paulo

4. Federal Republic of Nigeria
Makao Makuu: Abuja
Jiji Kubwa: Lagos

5. Republic of South Africa
Makao Makuu: Pretoria(ilipo executive)
Jiji Kubwa: Johannesburg.

6. The Kingdom of Morocco
Makao Makuu: Rabat
Jiji kubwa: Casablanca.

7. Scotland
Makao makuu: Edinburgh.
Jiji Kubwa: Glasgow

8. Canada
Makao makuu: Ottawa
Jiji kubwa: Toronto

Kwa hiyo hoja ya Dodoma kuwa ndogo haina mashiko, haina miguu ya kusimamia. Miji yote hujengwa na wananchi na serikali yao kwa mipango na vipaumbele. Viongozi waendelee kuipa Dodoma umuhimu wake kama makao makuu ya nchi.

Mashirika binafsi, mashirika ya dini na mashirika ya umma pia yaipe Dodoma umuhimu kama makao makuu ya nchi.

Tutatengeneza jiji la pili muhimu litakalochangia mapato ya serikali na hivyo maendeleo ya nchi na watu wake.
Ongezea na hii
Ivory Coast capital city Yamoussoukro
Jiji kubwa Abidjan
 
Lindi
Mji Mkuu: Lindi Mjini
Majiji ya Maana: Ruangwa na Nachingwea
 
8. Mji mkuu wa Canada sio Montreal kweli?!! Nirudishieni kumbukumbu zangu za darasa la 6/7; huko nilikuwa na uwezo wa kuitaja miji mikuu ya dunia yote!!
Toronto inakaa wapi sasa mkuu!
 
Ila Kwa Tanzania Hadi 2039 ambapo Mpango kabambe awamu ya kwanza wa Jiji la Dom itakuwa ndio Second Largest city after Dar.

Malawi walihamisha Mji Mkuu kutoka Zomba/Blantyre kuja Lilongwe na Sasa Lilongwe ndio Largest City in Malawi.
Dodoma haitakaa iifikie mwanza jiji kwa ukubwa hizo ni ndoto za mchana, mkoa wa mwanza una wakazi million 4 na eneo lake ni dogo dodoma ni jiji lenye kmsq zaidi ya 2500 ina population ya watu laki 7 mwanza ukiihesabu kwa hizo kmsq inawatu zaidi ya 2m lakini pia mwanza imezungukwa na kanda ya ziwa yenye watu wengi zaidi nchini kwahio mingiliano ni mkubwa lakini dodoma ilipokaa ni eneo lisilo na watu ukienda km zaidi ya 120 mashariki ndio unakutana na kibaigwa nao ni mji mdogo ukienda magharibi ni mbali hadi uje ukutane na bahi au manyoni nayo ni miji midogo ukienda kaskazini hadi uje ukutane na kondoa karibu km 200 nao ni mji mdogo kwenya upande wa iringa mji mkubwa kule ni iringa km zaidi ya 250 iringa nao si mji wenye watu wengi unazidiwa hata na geita iringa kwa watu ni kama bunda tu kuja kwenye maendeleo mwanza ni ya 4 nyuma ya arusha na zanzibar na dodoma kuzifikia arusha na zanzibar pia ni ndoto imagine arusha kuna ghorofa 7000 dodoma zipo 2000 ghorofa zinaonyesha uwezo wa kiuchumi wa wakazi huwez kua maskini ukajenga ghorofa sasa kufikia huko sio leo ukumbuke dar es salaam kilichoifanya kuwa kubwa ni bandari mwingiliano wa biashara na wala sio kua makao makuu hata sasa hivi mji umeamia dodoma lakini foleni ni vile vile lakini kingine uboreshwaji wa miundominu kila kanda sasa hivi inhospitali kubwa miundominu sasa hivi sgr mtu ataweza kwenda mwanza na dar kwa haraka hata huduma kama interview sasa hivi watu wanafanya online sio lazima wawepo physically huduma makao makuu huduma kama mailing n.k sasa hivi zinafanywa kwa delivery sasa dodoma nje ya kua makao makuu haina pulling factors za kuchochea uchumi mbeya kuna madini na kilimo, mwanza kuna uvuvi, arusha & zanzibar kuna utalii dar kuna bandari dodoma kuna nini ambacho kipo competitive usinitajie kilimo tena kwavile kwenye ile big4 ya chakula dodoma haipo na ndio maana fika dodoma watu wanalalamika maisha ni magumu kwa mtu ambaye sio mwajiriwa au mtumishi wa serikali au mfanyabiashara mkubwa bado dodoma ni mji wa boom la udom na msimu wa bunge au mkutano wa ccm
Labda serikali iache mpango wake wa kukuza utalii ila kama lengo ni lile lile la watalii 5mi hadi hiyo 2039 arusha na zanzibar zitakua mbali sana
Kw hio msimamo kwa maendeleo utabaki kua Dar, zanzibar, arusha, mwanza na dodoma mtachuana hiyo namba 4😀
Ila ambalo hakuna mtu atapinga ni kuwa dodoma ndio utakua mji namba mbili kwa miundombinu bora zaidi nchini ila kwa uchumi sahau chief naiona mbeya iko na bright future kuliko dodoma sio kwa hali ya hewa, vivutio vya utalii, kilimo na resources wanachokosa ni plan tu maskini kwa vile hata mbeya ingehesabiwa kwa ukubwa wa kmsq 2500 ingekua na watu 700k kama dodoma au zaidi kwa sababu kwa kmsq 200 tu mbeya jiji inawatu zaidi ya laki5 ngoja tu serikali iamke kuutilize resources zote za huo mkoa dodoma ni majengo ya serikali tu yakamilike kwisha 😀 irudi kwenye nafasi yake ya 6
NB: Mimi ni mmoja wa watu nnaosapoti sana mpango wa dodoma kua makao makuu kwa vile imeongeza mpangilio mzuri kwenye eneo tabarare la dodoma ambalo ni katikati mwa nchi kuliko
Dar 👏 Ni mafanikio makubwa ya kujivunia kama nchi kwamba hadi 2039 tutakua na la kujivunia kwamba tunamji mmoja smart na uliopangika kisawasawa wa dodoma bila kuathiri ukuwaji wa miji mama ya mbeya, mwanza ,zanzibar, arusha na Daresalaam
 
Dodoma haitakaa iifikie mwanza jiji kwa ukubwa hizo ni ndoto za mchana, mkoa wa mwanza una wakazi million 4 na eneo lake ni dogo dodoma ni jiji lenye kmsq zaidi ya 2500 ina population ya watu laki 7 mwanza ukiihesabu kwa hizo kmsq inawatu zaidi ya 2m kuja kwenye maendeleo mwanza ni ya 4 nyuma ya arusha na zanzibar na dodoma kuzifikia arusha na zanzibar pia ni ndoto imagine arusha kuna ghorofa 7000 dodoma zipo 2000 ghorofa zinaonyesha uwezo wa kiuchumi wa wakazi huwez kua maskini ukajenga ghorofa sasa kufikia huko sio leo ukumbuke dar es salaam kilichoifanya kuwa kubwa ni bandari mwingiliano wa biashara na wala sio kua makao makuu hata sasa hivi mji umeamia dodoma lakini foleni ni vile vile lakini kingine uboreshwaji wa miundominu kila kanda sasa hivi inhospitable kubwa miundominu sasa hivi sgr mtu ataweza kwenda mwanza na dar kwa haraka hata huduma kama interview sasa hivi watu wanafanya online sio lazima wawepo physically makao makuu sasa dodoma nje ya kua makao makuu haina pulling factors za kuchochea uchumi mbeya kuna madini na kilimo, mwanza kuna uvuvi, arusha & zanzibar kuna utalii dar kuna bandari dodoma kuna nini ambacho kipo competitive usinitajie kilimo tena kwavile kwenye ile big4 ya chakula dodoma haipo.
Labda serikali iache mpango wake wa kukuza utalii ila kama lengo ni lile lile la watalii 5mi hadi hiyo 2039 arusha na zanzibar zitakua mbali sana
Kw hio msimamo kwa maendeleo utabaki kua dar zanzibar arusha mwanza dodoma mtachuana hiyo namba 4😀
Ila ambalo hakuna mtu atapinga ni kuwa dodoma ndio utakua mji namba mbili kwa miundombinu bora zaidi nchini ila kwa uchumi sahau chief naiona mbeya iko na bright future kuliko dodoma sio kwa hali ya hewa, vivutio vya utalii, kilimo na resources wanachokosa ni plan tu maskini ngoja tu serikali iamke kuutilize resources zote za huo mkoa dodoma ni majengo ya serikali tu yakamilike kwisha 😀 irudi kwenye nafasi yake ya 6
Unauliza kuhusu pulling factor? Unachekesha sana.Hakuna Mji hapa Tanzania ulioendelea bila investments za Serikali kote huko ulikota ni Nguvu ya Serikali.

So kutokana na uwepo wa Serikali na uwekezaji wa Umma kwenye sekta zote za Uchumi na jamii basi hiyo ndio pulling factor kubwa zaidi kushinda hao dagaa,maembe nk.

Kwa hiyo acheni kujifariji kina Mwanza na Arusha.Population growth rate ya Dodoma ni kubwa kushinda Mwanza,Arusha,Dodoma,Mbeya nk.Sasa kama hakuna pulling factor unadhani hao watu wanaenda kushangaa Bunge? 🤣🤣🤣👇👇
Screenshot_20231031-061536_1.jpg
Screenshot_20240417-152949.jpg

Wewe unaonekana hakuna unachokijua kuhusu Dodoma,sio tuu uwepo wa Serikali Bali Kilimo,Madini na kuwa junction ni vivutio tosha.

Kwa Sasa hapa Tanzania tunategenea masoko Dar na Dodoma huko kwingine hakuna kitu.

Mwanza,Dar na Kilimanjaro zimefikia viwango vya mwisho vya population growth ndio maana inapungua.

Dodoma 3.9 vs Mwanza 2.9 unadhani ndani ya miaka 15 ijayo Jiji gani litakuwa na watu wengi?

Habari za sijui uchukue skwea mita za Doodma manake uchukue maeneo ya Wilaya zingine.

Mwisho vyovyote vile iwavyo,Doodma Iki maintain hiyo growth rate Kwa miaka 15 tuu inaipita Mwanza na itafanya hivyo Kwa sababu Ndio Mji unaojengeka zaidi baada ya Dar
 
Unauliza kuhusu pulling factor? Unachekesha sana.Hakuna Mji hapa Tanzania ulioendelea bila investments za Serikali kote huko ulikota ni Nguvu ya Serikali.

So kutokana na uwepo wa Serikali na uwekezaji wa Umma kwenye sekta zote za Uchumi na jamii basi hiyo ndio pulling factor kubwa zaidi kushinda hao dagaa,maembe nk.

Kwa hiyo acheni kujifariji kina Mwanza na Arusha.Population growth rate ya Dodoma ni kubwa kushinda Mwanza,Arusha,Dodoma,Mbeya nk.Sasa kama hakuna pulling factor unadhani hao watu wanaenda kushangaa Bunge? 🤣🤣🤣👇👇View attachment 2992159View attachment 2992160

Ndugu yangu umeangalia kwenye sensa ya 2022 lakini majengo yanayojengwa mwanza hata dar haiingii usijitoe ufahamu chief😀
 
Pulling factora huwa zinakuja automatically, tatizo Dodoma inatumika nguvu kuzipromote hizo factors....lakini wapi hata miaka 100
 
Back
Top Bottom