Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

Umeandika vitu vingi bila mpangilioπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†labda kwa kukusaidia "population kubwa" wala sio kigezo cha maendeleo ya mji. Unaweza kuwa na population kubwa lakini mipangomiji+miundombinu na huduma za kijamii hazina ubora kama ilivyo kwa Mwanza barabara za lami ni tatizo kubwa.

Nakupa mfano Jiji la Windhoek Namibia lina population ya watu lakitano tu lakini ubora wake na mpangilio wa jiji umezidi Dar yenye watu milioni 5πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kuna Jiji Ulaya la Luxembourg City lina population ya watu laki mbili tu lakini ubora wake na maendeleo yake huwezi kulinganisha na baadhi ya majiji yenye population ya mamilioni ya watu.
 
Uyo mtu nliemjibu ndio kasema dodoma itakua second largest city sio mimiπŸ˜€πŸ˜€ wewe umekurupuka tu sijui ndio umeamka mi nmejaribu tu kumuelewesha kama anaijua mwanza lakin
 
Sasa unatengenezaje kwa kukusanya mapato jiji la pili kisa tu utashi wako kwanini usiendeleze ambayo tayari inakusanya mapato ikusanye mapato zaidi?
Dodoma iendelezwe bila kuiua miji mingine ili ionekane maamuz waliyofanya ni sahihi
Miji yenye mchango mkubwa kama mwanza mbeya na hata arusha nayo iboreshwe hakuna haja ya kujenga mabarabara dodoma ambayo hata hayatumiki kisa tu ni makao makuu wakat sehemu nyingine hakuna mabarabara tujenge kwa uwiano tukifanikiwa kama nchi dodoma itapendeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…