Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,658
Dj summer anapiga nyimbo mbaya sijapata kuona..ma dj wapo clouds bhanaHuyo ommy hta sioni ukali wake wowote bor a dj summer
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dj summer anapiga nyimbo mbaya sijapata kuona..ma dj wapo clouds bhanaHuyo ommy hta sioni ukali wake wowote bor a dj summer
Kwani huyo ommy yeye ana ubunifu gani?una angalia ukali au ubunifu..?
Ana pita yuko tbc baada ya kupata degree ya journalism udsm alisepa zakeAna Peter kaenda radio gani
may C nae yuko efm
frida aman kweli wasipomlinda atachukuliwa soon
Kuna George bantu,Mussa hussein wote zao la Earadio wamekimbilia mawinguPatrik Nyembera pia ni zao la EATV kaenda zake azam tv kwenye vipindi vya michezo,Captain Michael Maluwe nae pia ni zao la ipp media kupitia ITV kipindi cha "tamasha la michezo" sasa hivi anakula mashavu azam tv.....
Hila jamaa sijui huwa wanawatoa wap aisee kila mtu anayeondoka lazima anayekuja anafit sawasawa kama quen fif alivyoziba pengo la mam beib na Jr alivyoziba pengo ka kennedy,vivyohivyo king smash kwa George bantuYaani hao uliowataja ukiongeza na Junior jr ndio uhai wa redio pale vinginevo hamna kitu
ndio maana ukaambiwa chuo kileHila jamaa sijui huwa wanawatoa wap aisee kila mtu anayeondoka lazima anayekuja anafit sawasawa kama quen fif alivyoziba pengo la mam beib na Jr alivyoziba pengo ka kennedy,vivyohivyo king smash kwa George bantu
May c nae kumbe kasepa?kwel kile chuo watu wanapita tuAna Peter kaenda radio gani
may C nae yuko efm
frida aman kweli wasipomlinda atachukuliwa soon
Aipipi media haijawahi kua nzuri ktk Maslah na wao hawaoni hatari kuchukua majina mapya ili wawabane tu kimaslah ndio busness yao.EA Radio na EATV ni wabinafsi,wanachuki na wanaroho mbaya sana,haswa Dullah wa Planet Bongo na Samwel Misago aka Sammisago na yule Program Manager wao ndio watu wanaohujumu hizi station,ila bila ya hao watu ni station nzuri sana kwa TZ na EA kwa ujumla.UKITAKA KUDHIBITISHA HILO,ANGALIA HAWANA MATANGAZO MENGI NA SABABU KUBWA MAKAMPUNI/TAASISI/WATU BINAFSI WANAONA HAKUNA WATANGAZAJI WENYE KUVUTIA WASIKILIZAJI.Kumbuka Radio/Tv zenye matangazo mengi maana yake zinapendwa na makampuni,na makampuni yanaangalia vipindi au watangazaji wenye kuvutia wasikilizaji/watazamaji pamoja na kusambaa hadi vijijini na mijini.
na cha ajabu hawajawahi kupoteza mvuto machoni na masikioni mwa watuAipipi media haijawahi kua nzuri ktk Maslah na wao hawaoni hatari kuchukua majina mapya ili wawabane tu kimaslah ndio busness yao.
So suala la kupoteza watangazaji wazuri au ma dj wamezoea sana
Since Enzi za akina Regina mwalekwa, Charles Hillary Nk
Biashara gani alizonazo zinafanya poa? Dingi bahili sana yule. Na tena sasa hivi katoto kanamkamua mbegu hadi akili soon majanga. Wenye kumtegemea wajipange.Tatizo la Mengi kama Sizonje tu hata hasikilizi mawazo yetu, ila ukweli usemwe lazima wabadilike kuendana na kasi hii ya kizazi kipya yaani redio one ndo kabisaaaa kama tbc tu ,na kuna vijana wa kizazi hiki kuanzia 99 hata hawajawahi kuisikia .
Mzee Mengi tunajua una viwanda na biashara zingine ambazo ndo zinakupa jeuri hivyo hutegemei redio na tv ,please tufufulie ea radio na tv zikimbizane na hawa wengine
True ni ukweli usio pingika kua IPP ni tycon wa media bongo ndio maaana hata SportPesa wenye akili za kujitambua hawajaenda Clouds wala Ena cha ajabu hawajawahi kupoteza mvuto machoni na masikioni mwa watu