Sio tu Dj Ommy Crazy hata Frida(Queen fifi) na King Smash hawana muda mrefu

Sio tu Dj Ommy Crazy hata Frida(Queen fifi) na King Smash hawana muda mrefu

Biashara gani alizonazo zinafanya poa? Dingi bahili sana yule. Na tena sasa hivi katoto kanamkamua mbegu hadi akili soon majanga. Wenye kumtegemea wajipange.

Basi amkabidhi huyo bibie Klyn uongozi wa East africa radio na tv maana anaakili za ujana bila shaka atabadilisha. Upande wa Itv wao hawana tatizo
 
Sasa mastaa watatengenezwa wapi kama EATV itabakisha best presenters?

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
EA Radio na EATV ni wabinafsi,wanachuki na wanaroho mbaya sana,haswa Dullah wa Planet Bongo na Samwel Misago aka Sammisago na yule Program Manager wao ndio watu wanaohujumu hizi station,ila bila ya hao watu ni station nzuri sana kwa TZ na EA kwa ujumla.UKITAKA KUDHIBITISHA HILO,ANGALIA HAWANA MATANGAZO MENGI NA SABABU KUBWA MAKAMPUNI/TAASISI/WATU BINAFSI WANAONA HAKUNA WATANGAZAJI WENYE KUVUTIA WASIKILIZAJI.Kumbuka Radio/Tv zenye matangazo mengi maana yake zinapendwa na makampuni,na makampuni yanaangalia vipindi au watangazaji wenye kuvutia wasikilizaji/watazamaji pamoja na kusambaa hadi vijijini na mijini.
Kweli mkuu hao jamaa hasa uyo dullah wanakera sana...hasa wanavobana pua
 
Kumbe kuna watu mnasikiliza radio zingine... mi ni clouds tuuu...

Ruge huwa anapondwa sana ila jamaa ni mjanja sana.. ameshaona EA radio wanajua kuangalia vipaji sasa anawanyofoa hukohuko na hao EA radio watakuwa kama Arsenal tuu...

Samsung S8
 
EA Radio na EATV ni wabinafsi,wanachuki na wanaroho mbaya sana,haswa Dullah wa Planet Bongo na Samwel Misago aka Sammisago na yule Program Manager wao ndio watu wanaohujumu hizi station,ila bila ya hao watu ni station nzuri sana kwa TZ na EA kwa ujumla.UKITAKA KUDHIBITISHA HILO,ANGALIA HAWANA MATANGAZO MENGI NA SABABU KUBWA MAKAMPUNI/TAASISI/WATU BINAFSI WANAONA HAKUNA WATANGAZAJI WENYE KUVUTIA WASIKILIZAJI.Kumbuka Radio/Tv zenye matangazo mengi maana yake zinapendwa na makampuni,na makampuni yanaangalia vipindi au watangazaji wenye kuvutia wasikilizaji/watazamaji pamoja na kusambaa hadi vijijini na mijini.
sasa Sam misago na dulah ndo wanabania matangazo??? Dah haya bwana!!
 
Dj summer anapiga nyimbo mbaya sijapata kuona..ma dj wapo clouds bhana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
hahaha yeye summer anasema dj mzuri hachagui nyimbo anapiga za aina zotee ila siku nyingine anapiga magoma makali
 
Hii topic nimeipenda , itabid Na Mimi nifike EA TV Na redio niombe kazi hata Kwa ujira mdogo nipate uzoefu ....nisep[emoji16][emoji16]
 
True say mi mwenyewe natafuta chakaa palee ili nijulikane nisepee....!!

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu Na wewe ni presenter? Tuwekee ka demo tusikie swagree[emoji109]
 
Jamani Kuna anayewajua Hawa watangazaji was ea radio David Rwanyagira Zembwela na Miriam Jr Junior Dj Sama Tz Frida au Queen Fifi
 
Back
Top Bottom