Sio tu Dj Ommy Crazy hata Frida(Queen fifi) na King Smash hawana muda mrefu

Ea radio ilikuwa ni radio bora sana mwaka 2013 na kurudi nyuma..kipindi hicho sam misago yupo na anna pita mamybaby na dj mafuvu kwenye power jamz saa 7-10, the cruize george bantu na kennedy the remedy,ea drive alikuwepo jamaa mmoja anaitwa sebastian,acha kabisa mkuu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Mengi kama Sizonje tu hata hasikilizi mawazo yetu, ila ukweli usemwe lazima wabadilike kuendana na kasi hii ya kizazi kipya yaani redio one ndo kabisaaaa kama tbc tu ,na kuna vijana wa kizazi hiki kuanzia 99 hata hawajawahi kuisikia .

Mzee Mengi tunajua una viwanda na biashara zingine ambazo ndo zinakupa jeuri hivyo hutegemei redio na tv ,please tufufulie ea radio na tv zikimbizane na hawa wengine
 
Patrik Nyembera pia ni zao la EATV kaenda zake azam tv kwenye vipindi vya michezo,Captain Michael Maluwe nae pia ni zao la ipp media kupitia ITV kipindi cha "tamasha la michezo" sasa hivi anakula mashavu azam tv.....
Kuna George bantu,Mussa hussein wote zao la Earadio wamekimbilia mawingu
 
Hila jamaa sijui huwa wanawatoa wap aisee kila mtu anayeondoka lazima anayekuja anafit sawasawa kama quen fif alivyoziba pengo la mam beib na Jr alivyoziba pengo ka kennedy,vivyohivyo king smash kwa George bantu
ndio maana ukaambiwa chuo kile
 
Kufanya kazi kwa Bosi mchaga unatakiwa uwe na uvumilivu wa chuma, maslahi madigo madogo sana halafu kazi kubwa kinoma,

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
IPP ni sawa na Shule maana ukiangalia wengi wametokea hapo
 
Aipipi media haijawahi kua nzuri ktk Maslah na wao hawaoni hatari kuchukua majina mapya ili wawabane tu kimaslah ndio busness yao.

So suala la kupoteza watangazaji wazuri au ma dj wamezoea sana

Since Enzi za akina Regina mwalekwa, Charles Hillary Nk
 
na cha ajabu hawajawahi kupoteza mvuto machoni na masikioni mwa watu
 
Biashara gani alizonazo zinafanya poa? Dingi bahili sana yule. Na tena sasa hivi katoto kanamkamua mbegu hadi akili soon majanga. Wenye kumtegemea wajipange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…