kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kufanya ngoma na hamissa Ni show offAli kiba anajua kichina na kiarabu.hana aja ya kujua kingereza kwanza ana collable na Rapa wa india na China sema hapendi show off
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
agiza sanitizer popote ulipo nakuja kulipa.jibu konkiπππkikubwa anajua kuimba ni mwanamuziki.
hayo ya kujieleza tumwachie waziri mkuu,kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni.
kwani wewe unataka kusikia nini kutoka kwa alikiba,tofauti na music????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe itakuwa Ni mbeba mabegi yakekikubwa anajua kuimba ni mwanamuziki.
hayo ya kujieleza tumwachie waziri mkuu,kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni.
kwani wewe unataka kusikia nini kutoka kwa alikiba,tofauti na music????
Sent using Jamii Forums mobile app
Obhebhe nyanda olentumbafu!
Tolenalicorona obhe
Nahene..
Haha ntumbafu mwenekeleObhebhe nyanda olentumbafu!
Tolenalicorona obhebhe wayomba kamwa alikiba!! Olenamasala..??
Otenahaya oleshidondofilo
Tokwibhona ntondo shindo.
Binadamu tuko hivyo, Kuna wanaomwelewa na hali yake, maana Kuna shida za kimaumbile, hizo tuzikubali tunaposhirikiana na wengine. Hawezi kuwa kama mond au wewe au kama Mimi.Mashabiki wa Ali kiba msinichukulie vibaya
Mi pia Ni shabiki kindakindaki wa Ali kiba
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia interviews za Ali kiba
Mwanzo nilihisi jamaa ana mashauzi na kujiona lakini sio kweli jamaa hajui kujieleza kabisa .
USHAURI WANGU KWAKE
Asiwe anaongea katika interview
Atafute mtu wa kumlipa awe anamsaidia kufanya interview.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matanzania mengi yasiyo jielewa na hayajaenda shule na mambumbumbu yanachanganya kiingereza na uwezo wa akili, mtu akiongea kiingereza au kuimba yanaamini ana akili sana. Kweli elimu ni muhimuagiza sanitizer popote ulipo nakuja kulipa.jibu konkiπππ
kikubwa anajua kuimba ni mwanamuziki.
hayo ya kujieleza tumwachie waziri mkuu,kipindi cha maswali ya papo kwa papo bungeni.
kwani wewe unataka kusikia nini kutoka kwa alikiba,tofauti na music????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mzuri, RonaldinhoVitu vingine ni mtu tu anahamua kujua au kutokujua wachezaji wengi tu na wakubwa hawajui lugha ya Kiingereza na maisha yao yanaenda vizuri tu nachokiona ni Ali kiba ajataka tu kujua pia inaweza kuwa hiyo lugha sio muhimu sana kwake π