Sio tu hajui kiingereza! Ali kiba hajui kujieleza

Sio tu hajui kiingereza! Ali kiba hajui kujieleza

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Mashabiki wa Ali kiba msinichukulie vibaya
Mi pia Ni shabiki kindakindaki wa Ali kiba
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia interviews za Ali kiba
Mwanzo nilihisi jamaa ana mashauzi na kujiona lakini sio kweli jamaa hajui kujieleza kabisa .

USHAURI WANGU KWAKE

Asiwe anaongea katika interview
Atafute mtu wa kumlipa awe anamsaidia kufanya interview.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu tuko hivyo, Kuna wanaomwelewa na hali yake, maana Kuna shida za kimaumbile, hizo tuzikubali tunaposhirikiana na wengine. Hawezi kuwa kama mond au wewe au kama Mimi.
 
Vitu vingine ni mtu tu anahamua kujua au kutokujua wachezaji wengi tu na wakubwa hawajui lugha ya Kiingereza na maisha yao yanaenda vizuri tu nachokiona ni Ali kiba ajataka tu kujua pia inaweza kuwa hiyo lugha sio muhimu sana kwake 😎
 
Yeye hana Malengo Yakuwa msanii mkubwa ameridhika na level yake ya kuwa anafanya kazi kwaajili ya soko la Afrika Mashariki.

Kama unataka kuwa msanii wa kimataifa jitahidi ujifunze vitu vya msingi hasa Lugha moja kubwa Walau na kwetu huku Lugha ya kiingereza tunajifunza Toka shule ya msingi hivyo kuielewa ni rahisi Sana.

IQ haiwezi kuwa kubwa Kama kujifunza tu lugha moja kwako ni ngumu Hiyo IQ kubwa itakua kwenye nini?

Huwezi kuliteka soko Kama huna maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dindilichuma,
Mkuu kiingereza =IQ unataka kutuambia, mziki ni lugha ambayo kila mtu anaielewa mtu ata akiimba kizuru, kispanyola kama anaimba fresh tu, verse ,melody kali watu wanamwelewa ,kwa mfano check ngoma ya luis fonsi na daddy yanky decipacito dunia nzima wanajua kispanyola?

Ni music language tu wameilewa , tunaweza sema music is the language ambayo aihusiani kabisa na lugha tunazoongea
 
Vitu vingine ni mtu tu anahamua kujua au kutokujua wachezaji wengi tu na wakubwa hawajui lugha ya Kiingereza na maisha yao yanaenda vizuri tu nachokiona ni Ali kiba ajataka tu kujua pia inaweza kuwa hiyo lugha sio muhimu sana kwake 😎
Mfano mzuri, Ronaldinho
Park ji-sang
Yao Ming.
 
Back
Top Bottom