el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Usijifariji kutoangalia kinyesi chako wakati unaharisha kwamba itatoa ukweli kuwa unaharisha. Kujieleza kunaweza kuwa ni kipimo cha fikra za mtu,mfano niliona anaeleza kuwa kuna watu wanamfanyia figisu kwenye suala la views huko youtube wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa.Sisi tunataka Muziki wake kujieleza kwake hatuna shida napo mkuu...jamaa akishatoaga ngoma ikawatoa kwenye reli huwa mnakuja na upuuzi mwiiiiingi kutuliza maumivu...ungeileta kabla ya ngoma ya dodo now tupo busy kidogo tuacheni.
Sent using Jamii Forums mobile app