Sashel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 212
- 84
mie alikuwa amshanizosha hiyo ya kunifungulia mlango, lakini inapotokea tupo na mama yake utaona hafanyi hiko kitendo, kuna cku tupo na mama yake, wanaagana mie nipo upande wa pili nasubiri kuja kufunguliwa kama kawaida nashangaa mtu ameshawasha gari naulizwa mbona huingii?..nika note tukiwa na mama hawezi nifanyia hivyo anajua mwenyewe sababu, nilimpiga marufuku kuanzia hiyo cku alivyoniacha naduwaa tu.
ahahhah..anaogopa mama atasema umemtawala mwanae lol