Sio utamaduni wa wanaume wa Kitanzania/Africa

Sio utamaduni wa wanaume wa Kitanzania/Africa

mie alikuwa amshanizosha hiyo ya kunifungulia mlango, lakini inapotokea tupo na mama yake utaona hafanyi hiko kitendo, kuna cku tupo na mama yake, wanaagana mie nipo upande wa pili nasubiri kuja kufunguliwa kama kawaida nashangaa mtu ameshawasha gari naulizwa mbona huingii?..nika note tukiwa na mama hawezi nifanyia hivyo anajua mwenyewe sababu, nilimpiga marufuku kuanzia hiyo cku alivyoniacha naduwaa tu.

ahahhah..anaogopa mama atasema umemtawala mwanae lol
 
Ni utamaduni au kuijua thamani ya mkeo?Sidhani kama jambo hili au mambo hayo yanahusiana na rangi!
 
Ukimuuliza kuhusu chakula cha mchana atasema sijala ili akupige kizinga,bora umkumbuke wakati wa kulala. Na hizo zote mbwembwe hazimaanishi mapenzi ya dhati.
 
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka

2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa inatokeaga siku ya harusi tu.

3. Kumsifia pale panopostahili e.g nguo imekupendeza kweli....u look excellent on those
clothes. U had wonderful presentation I rly like it.....

4. Kumpigia simu muda wa mchana kumtakia mlo mwema na kujua siku yake inakwendaje.
Au kumwachia ki-note asubuhi kwenye fridge au nyuma ya mlango chenye ujumbe wa
mapenzi e.g u luk so peaceful, beautiful and at peace when u sleep

5. Kumpa au kumnunulia maua katika vipindi tofauti

Alf yani napendwa kufanyiwa na m2 wng bl kumwambia afanye mwnyw lkn wanaume wa TZ wanaiga usharo mambo yanayo zidisha mpz wl hwaigi,hy ndo mambo yanayo fanya penzi lw jipya
 
:mwaaah:ni kweli lakn ndo hvyo yakupasa kubadlka kulngana na mazngra bwana weng 2nafanya hayo
 
ni kwl ni nadra sna kwa wanaume kufanya hiyvo malezi pia yana changia sana..ila kwl ushindwe hata kumshika mkono tu mwenzi wko???!!!!!
 
ni kwl ni nadra sna kwa wanaume kufanya hiyvo malezi pia yana changia sana..ila kwl ushindwe hata kumshika mkono tu mwenzi wko???!!!!!

Wallah siwezi kuona aibu kujinafasi na maiwaifu wangu,kwa staha lakini!
 
sio utamadunii wetu...pia wanaume wa kiafrica/tanzania kwendaa out na bibie umuachee alipie bili kama nchi za west,
sio utamaduni wetu..pia wanaume wa kiafrica/tanzania kujibizana na mwanamke kwa maneno zaidi vitendo kelebu then kaaa kimyaa
..tamaduniii zinatofautianaaa ndo maana yake....real african/tanzanian hawezii kuongela swiming na ki....chu....pi yeye wife na watoto..doh utamaduni gani huu,mtoto miaka 23 wa kike anavyaaa kiasara asara mbele ya baba ake,mara watoke out wanywee mvinyo mwisho wasiku kitamaduni zetu..sio sahiii watakuwa na mpango b
 
Back
Top Bottom