mie alikuwa amshanizosha hiyo ya kunifungulia mlango, lakini inapotokea tupo na mama yake utaona hafanyi hiko kitendo, kuna cku tupo na mama yake, wanaagana mie nipo upande wa pili nasubiri kuja kufunguliwa kama kawaida nashangaa mtu ameshawasha gari naulizwa mbona huingii?..nika note tukiwa na mama hawezi nifanyia hivyo anajua mwenyewe sababu, nilimpiga marufuku kuanzia hiyo cku alivyoniacha naduwaa tu.
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka
2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa inatokeaga siku ya harusi tu.
3. Kumsifia pale panopostahili e.g nguo imekupendeza kweli....u look excellent on those
clothes. U had wonderful presentation I rly like it.....
4. Kumpigia simu muda wa mchana kumtakia mlo mwema na kujua siku yake inakwendaje.
Au kumwachia ki-note asubuhi kwenye fridge au nyuma ya mlango chenye ujumbe wa
mapenzi e.g u luk so peaceful, beautiful and at peace when u sleep
5. Kumpa au kumnunulia maua katika vipindi tofauti
ni kwl ni nadra sna kwa wanaume kufanya hiyvo malezi pia yana changia sana..ila kwl ushindwe hata kumshika mkono tu mwenzi wko???!!!!!