Miaka hiyo nilikua nasikiliza mawe ya hawa jamaa..
KRS one
Naughty by Nature
Warren G
Dr Dre
2 Pac
Wu Tang
Lost boys
Bone Thugs-N-Harmony
LL Cool J
Gang
R Kelly
DAZ EFX
Bob Marley
NAS escoba..
Hao Wasizwa walikua wanaimba aisee music unaisikiliza kwa tape ila vitu vyote unavisikia kutoka kwenye double deck ya National Panasonic black.