DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huu Ujumbe ni mzuri sana,Naomba upewe heshima ya Uzi bora wa Kufungia Mwaka 2022 na kuukaribisha Mwaka mpya 2023.Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu.
Jikite katika kufanya Kazi na kuishi katika utakatifu.
Mungu ana tabia ya kuwashusha watu na kuwapandisha watu.
Kuna watu walileta dharau lakini muda huu wanalia na kusaga meno.
Pia Mungu akikupandisha hakikisha unaheshimu kila Mtu na unaishi katika utakatifu
Kisasi sio chako
Hekima kubwa hii.Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu.