DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu.
Jikite katika kufanya Kazi na kuishi katika utakatifu.
Mungu ana tabia ya kuwashusha watu na kuwapandisha watu.
Kuna watu walileta dharau lakini muda huu wanalia na kusaga meno.
Pia Mungu akikupandisha hakikisha unaheshimu kila Mtu na unaishi katika utakatifu
Kisasi sio chako