Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mimi nasikiliza na namwelewa vizuri mno tena kwa vitendo.Hao unaowafundisha wenyewe hata hawakusikilizi, ukitaka wakusikilize hayo mahubiri yako wakate kichwa cha chini… otherwise unapoteza energy bure.!!
Uko sahihi 💯Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Boobs are disorienting my dude
Hivyo hivyo mkuu zingatia injini tu kama ipo😁😁Boobs are disorienting my dude
Ni wakati wa wanaume kufungua code na kuona uhalisia.Uko sahihi 💯
Tupambane kujiokoa wenyewe kwa sasa.
Alipwe yeye kama naniusitafute usawa na mwanamke onyesha kua uko juu wewe mlipe muda wake
Hii inauma while ni kweli"It always ends unfairly for a nice guy📌📌
Bad boy's for lifestyle nimekuelewa kiviyde yaan hizo ni lugha za Mbangulira darajani huku ndani ndani km unaelekea Somanga eeh ushaelewa vizuri?It always ends unfairly for a nice guy.
Huyo son mwenyewe ni mimi
Kuna wahuni sana humu kumbe!Umekatwa kichwa cha chini?
Daaah usiiingilie ugomv huo mkuu Usije ukapigwa ban Nikose mtaniiMmebadili uzi kuwa wa matusi tena😂
Alikuja kutufokea mabroo tukiwa tunapata darsa. Ni sawa na ile zaman kibwen bweni unakuta mabroo tunaoga nje kama ishirini hivi halafu manzi mmoja atake kukatiza kati kati yetu unaimagine nini kitatokea hapo?Mmebadili uzi kuwa wa matusi tena😂
Nipigwe ban kisa nini?, mimi nachangia mada, ila sipo upande wa kuwapiga miti na kuwaacha, lakini incase of kuendekeza wanawake huwa nasema huenda ningekuwa tajiriDaaah usiiingilie ugomv huo mkuu Usije ukapigwa ban Nikose mtanii
Oya mkuu naona macho yameisha chaji ngoja nikayachaji na shemu wako kaniambia nizime data 😂😂😂😂😂😇Nipigwe ban kisa nini?, mimi nachangia mada, ila sipo upande wa kuwapiga miti na kuwaacha, lakini incase of kuendekeza wanawake huwa nasema huenda ningekuwa tajiri
Htr im ingiaIwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Hivyo hivyo mkuu zingatia injini tu kama ipo😁😁