Sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke

Sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke

Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.

Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.

Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.

Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.

Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.

Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.

It always ends unfairly for a nice guy.

I love you, i love my brother.
Uko sahihi 💯
Tupambane kujiokoa wenyewe kwa sasa.
 
Nipigwe ban kisa nini?, mimi nachangia mada, ila sipo upande wa kuwapiga miti na kuwaacha, lakini incase of kuendekeza wanawake huwa nasema huenda ningekuwa tajiri
Oya mkuu naona macho yameisha chaji ngoja nikayachaji na shemu wako kaniambia nizime data 😂😂😂😂😂😇
 
Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.

Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.

Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.

Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.

Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.

Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.

It always ends unfairly for a nice guy.

I love you, i love my brother.
Htr im ingia
 
Hivyo hivyo mkuu zingatia injini tu kama ipo😁😁
ed8b4a4b07e3416fb04a05eda8785c52.jpg
 
Back
Top Bottom