Mkuu wala usishangae wana jf wengi hawajui kusoma ni wafata mkumbo tuu.Rugemalira hajafungua kesi ya kuidai serikali Bali anaisaidia serikali kulipwa pesa zake.
Shida nayoiona watu hawasomi hiyo case na hawataki kusoma
Hata hii ya sioi nayo watu hawajasoma hoyo case
mungu wenu wa Chato ni huyo Magufuli.Sawa mungu
Unaelewa Mama Samia alipomtembelea Lowasa nyumbani kwake waliongea nini?Mjinga, wanasheria uchwara wanataka kumlia hela tu huyu dogo. Ana makosa atulie na EL mkwe wake ndo alimtoa jela.
Atulie, wanamjaza ujinga.
Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosaUsisahau haya yote ni matunda ya yule Mzee wako Jiwe! Na wakishinda kesi maana yake kodi zetu ndiyo zitatumika kuwalipa fidia! Huku kukiwa hakuna faida yoyote ile kwa taifa kutokana na kuwaweka ndani kwa muda mrefu, na pasipo na mashtaka yoyote yale ya kueleweka.
Mimi sijui, Sioi,Shose na Kitilya ilikuwa wazi na kama wasingefanya "plea bargaining" walikuwa wanahatia. Atulize kipago huyu dogo dili alipiga.Unaelewa Mama Samia alipomtembelea Lowasa nyumbani kwake waliongea nini?
Kwa hili ofisi ya DPP iwajibike, unawapotezea watu muda, unawachafua kwa kesi ya kusingiziwa na unapitisha familia zao kweye mateso halafu baadae unasema huna nia ya kuendelea na kesiJe inahusiana na ile ya kuwekwa ndani miaka kadhaa bila uchunguzi kukamilika, kisha DPP anatamka "serikali haina nia ya kuendelea na kesi". Watuhumiwa wanaachiwa.
Sioi alifukuzwa stanbic kutokana na lile sakata la EGMA 2013Hizi kesi za fidia huanzaga kama utani kwenye maskhara vile.. Mwisho wa siku watu hulipwa mpunga mrefu sana
Toka umezaliwa umeshasikia wapi,Prosecutor wa umma hapa Bongo kamlipa mtu/taasisi fidia kwa kumshtaki?Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Ooohh kwaiyo issue ilikuwa 2013 sio Jiwe aliyesababisha hivo?Sioi alifukuzwa stanbic kutokana na lile sakata la EGMA 2013
Akafungua kesi kuwashitakk stanbic, Kama ujuavyo kipindi hicho chain yake ilikuwa kubwa akashinda kesi akalipwa na stanbic.
Hili sakata la EGMA na BOT ndio lililowsletea kesi baadae yeye kitilya na shose.
Ukweli ulio wazi pesa ilipigwa vizuri sana maana sioi akishirikiana na aliyekuwa mkurugezi mkuu wa stanbic Bashir awale, shida iliyopo ni kuwa jinsi ya kuwakuta na hatia na kwa bahati mbaya zaidi chain ilikuwa kubwa inayohusisha wanasiasa na viongozi wakubwa wa awamu ya 4
Jiwe mwendazake aliwaruka baadhi ya watu sababu tu ya uoga, alafu wanasema alikuwa haogopi. Kuna watu aliogopa kuwagusa
Na hata sasa pesa itapigwa tena, kwa kuwa hangaya kishaonekana ni dhaifu na wala hata hawamuogopi
Awamu hii italipa Sana madeni bado watu wa kimara waliobomolewa wanajipanga lazima walipwe fidia.Sinare🔥🔥🔥🔥
Bado wiki6 tuu kuwasilisha report ya 2021 mwaka kwenye ukoo
Kila binadamu akafanikiwe katika njia zake; tajiri akaongezeke zaidi na maskini akapunguze umaskini
Hivi tunajua anachokidai hapo? Huyu anadai haki ya Serikali na wananchi wake ambayo iliporwa na hiyo Bank siyo kwamba anadai yeye!Rex Attorneys again! Owner wa hii firm si mjumbe wa bodi ya shirika letu tukufu la kuangaza maisha yetu?
mungu wenu wa Chato ni huyo Magufuli.
Soma vitabu vya dini zote utaelewa kwa matendo ya mtu huyo makazi yake ni Jehenamu.
Awamu hii italipa Sana madeni bado watu wa kimara waliobomolewa wanajipanga lazima walipwe fidia.
Yule mwamba alikurupuka Sana
Pole mkuu tumia Google translateUzi wa Ki english kazi kweli kweli.Ngoja aje Kibatala mdogo
Ndiye huyo aliyewasimamia dowans kupata mkopo crdb na baadae akawashauri tanesco kuvunja mkataba na dowans ulioleta matatizo, akapewa ubalozi na Sasa wamemrudisha tanesco.Rex Attorneys again! Owner wa hii firm si mjumbe wa bodi ya shirika letu tukufu la kuangaza maisha yetu?
Sasa kina Matolla unategemea wawe na akili kweli?Mkuu unachotakiwa kujua wana jf wengi ni wafata mkumbo na wengi hawasomi habari bali wana comment tuu....... wengi fikira zao ni kuwa inashitakiwa serikali ya Magufuli.....
Wengi hapa hata hawajui case ina husu nini kwasababu wanategemea watu wawasomee wao wajadili baada ya kutafuniwa.... ndio maana unaona wengi hapa wanajadili tofauti na kilichomo kwenye case na wengi wanazungumzia hiasia
Waliongea afungue kesi?Unaelewa Mama Samia alipomtembelea Lowasa nyumbani kwake waliongea nini?