Sioi alifukuzwa stanbic kutokana na lile sakata la EGMA 2013
Akafungua kesi kuwashitakk stanbic, Kama ujuavyo kipindi hicho chain yake ilikuwa kubwa akashinda kesi akalipwa na stanbic.
Hili sakata la EGMA na BOT ndio lililowsletea kesi baadae yeye kitilya na shose.
Ukweli ulio wazi pesa ilipigwa vizuri sana maana sioi akishirikiana na aliyekuwa mkurugezi mkuu wa stanbic Bashir awale, shida iliyopo ni kuwa jinsi ya kuwakuta na hatia na kwa bahati mbaya zaidi chain ilikuwa kubwa inayohusisha wanasiasa na viongozi wakubwa wa awamu ya 4
Jiwe mwendazake aliwaruka baadhi ya watu sababu tu ya uoga, alafu wanasema alikuwa haogopi. Kuna watu aliogopa kuwagusa
Na hata sasa pesa itapigwa tena, kwa kuwa hangaya kishaonekana ni dhaifu na wala hata hawamuogopi