T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hapa nimeelewa kwanini mlalamikaji anaitaka Standard Chartered ilipe fidia serikali. Na kwanini hii contract ni voidKwani hiyo kesi si ilianzia uingereza ambapo Standard Chartered Bank ilipatikana na hatia ya kutoa rushwa kwa Viongozi wa serikali ili ipate tenda? Mnaongea msiyoyajua!
Huyo kaka yenu alikuwa na roho mbaya sana.Acha watu wadai haki zao kama wanaona walionewa!Mafisadi naona wanakuja kwa Kasi kurudisha fedha walizotapishwa na Mwendazake
Amemuzidi aliyemg'oa Ulimboka meno na kucha?Huyo kaka yenu alikuwa na roho mbaya sana.Acha watu wadai haki zao kama wanaona walionewa!
👍👍👍👍Yeah ndio maana nimekubali vita ya ufisadi ilikuepo ila nachosema ilikua biased yaani wezi 20 afu unakamata wawili pekee!!
Mfano hii kesi ya EGMA gavana wa BOT au waziri wa uchumi wanaponaje? Mgimwa na Mkullo walitajwa ila mbona sijasikia waziri yeyote akikamatwa?? Hivi kweli Shose na Sioi waiibie serikali bilion 12 bila "wazee" kuwaandalia njia?
Na ndio maana kuna uzi humu wa Lissu kuwa kumkamata Seth haitoshi maana wizi ni mnyororo so kma unataka kumaliza ufisadi ni kukamata mnyororo wote kuanzia katibu wa Rais mpaka teller aliyetoa hela kwenye masandarusi!!
Hakuna kitu kama hicho, watabananga, watabagaza na kuitweza tasnia ya sheria!Halafu wanasiasa wanajidai watafsiri ktk kiswahili cha kisheria !
Sioni kama kuna ubaya kama nasi tutapata chetu. Watu wanadhani Sioni anaidai Serikali ya Tanzania. Katika hili serikali haina liabilityMkuu kumbuka hata Ruge amekuja na lengo la kuipambania serikali, mwisho wa siku Ruge anachake pale sawa na SIOI. Kula mtori nyama utazikia badae
Naye ni great thinker! Sijui tunakwama wapi!Nina uhakika hujasoma na hujui kilichoko kwenye hizo documts ni kitu gani
Syo watu wote ni mapunguani kama weweMjinga, wanasheria uchwara wanataka kumlia hela tu huyu dogo. Ana makosa atulie na EL mkwe wake ndo alimtoa jela.
Atulie, wanamjaza ujinga.
Kuna wale walivunjiwa bureau de change na pesa zao kuchukuliwa nao waje fasta wafungue ma kesi.Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Weka huo UWAZI hapa syo kutuletea vumbi lililokujaa kichwani humuMimi sijui, Sioi,Shose na Kitilya ilikuwa wazi na kama wasingefanya "plea bargaining" walikuwa wanahatia. Atulize kipago huyu dogo dili alipiga.
Unatafuta bwana?Siyo watu wote ni mapunguani kama wewe
Mkuu hivi unajua case inazungumzia nini au umeandika tuu? hivi unajua hii ni csae ya 2014 kurudi nyuma? hahahahah mimi leo nasoma comments tuu......Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Heading tu inatupa hints ya nini kinazungumzwa unless heading na contents ziwe zimetofautiana, am i missing something?Mkuu hivi unajua case inazungumzia nini au umeandika tuu? hivi unajua hii ni csae ya 2014 kurudi nyuma? hahahahah mimi leo nasoma comments tuu......
Kwanini huwa amsoni kwanza kabla ya kukoment?
Wamemis mahabusu,, kesi za uhujumu uchumi hazinaga mda maalumu, zinarudigi hizo, oohTambua Rex ni The sinare na shose pia ni "The sinares"
Kumbuka nia hupitea na kurudi mda wowoteJe inahusiana na ile ya kuwekwa ndani miaka kadhaa bila uchunguzi kukamilika, kisha DPP anatamka "serikali haina nia ya kuendelea na kesi". Watuhumiwa wanaachiwa.
Ulitaka JK awekwe ndani?Yeah ndio maana nimekubali vita ya ufisadi ilikuepo ila nachosema ilikua biased yaani wezi 20 afu unakamata wawili pekee!!
Mfano hii kesi ya EGMA gavana wa BOT au waziri wa uchumi wanaponaje? Mgimwa na Mkullo walitajwa ila mbona sijasikia waziri yeyote akikamatwa?? Hivi kweli Shose na Sioi waiibie serikali bilion 12 bila "wazee" kuwaandalia njia?
Na ndio maana kuna uzi humu wa Lissu kuwa kumkamata Seth haitoshi maana wizi ni mnyororo so kma unataka kumaliza ufisadi ni kukamata mnyororo wote kuanzia katibu wa Rais mpaka teller aliyetoa hela kwenye masandarusi!!
Mkuu @aloycious msamehe huyu jamaa bure maana ni mkurupukaji. Angejua kuwa kweli hela waliziweka katika kampuni ya Kitilya na kila kitu kinajulikana, asingelianzishaSyo watu wote ni mapunguani kama wewe