Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

Kwani hiyo kesi si ilianzia uingereza ambapo Standard Chartered Bank ilipatikana na hatia ya kutoa rushwa kwa Viongozi wa serikali ili ipate tenda? Mnaongea msiyoyajua!
Hapa nimeelewa kwanini mlalamikaji anaitaka Standard Chartered ilipe fidia serikali. Na kwanini hii contract ni void
 
Yeah ndio maana nimekubali vita ya ufisadi ilikuepo ila nachosema ilikua biased yaani wezi 20 afu unakamata wawili pekee!!

Mfano hii kesi ya EGMA gavana wa BOT au waziri wa uchumi wanaponaje? Mgimwa na Mkullo walitajwa ila mbona sijasikia waziri yeyote akikamatwa?? Hivi kweli Shose na Sioi waiibie serikali bilion 12 bila "wazee" kuwaandalia njia?

Na ndio maana kuna uzi humu wa Lissu kuwa kumkamata Seth haitoshi maana wizi ni mnyororo so kma unataka kumaliza ufisadi ni kukamata mnyororo wote kuanzia katibu wa Rais mpaka teller aliyetoa hela kwenye masandarusi!!
👍👍👍👍
 
Mkuu kumbuka hata Ruge amekuja na lengo la kuipambania serikali, mwisho wa siku Ruge anachake pale sawa na SIOI. Kula mtori nyama utazikia badae
Sioni kama kuna ubaya kama nasi tutapata chetu. Watu wanadhani Sioni anaidai Serikali ya Tanzania. Katika hili serikali haina liability
 
Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Kuna wale walivunjiwa bureau de change na pesa zao kuchukuliwa nao waje fasta wafungue ma kesi.
Yule mfu alikua na roho mbaya kama KOBOKO[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Mkuu hivi unajua case inazungumzia nini au umeandika tuu? hivi unajua hii ni csae ya 2014 kurudi nyuma? hahahahah mimi leo nasoma comments tuu......
Kwanini huwa amsoni kwanza kabla ya kukoment?
 
Heading tu inatupa hints ya nini kinazungumzwa unless heading na contents ziwe zimetofautiana, am i missing something?
 
Je inahusiana na ile ya kuwekwa ndani miaka kadhaa bila uchunguzi kukamilika, kisha DPP anatamka "serikali haina nia ya kuendelea na kesi". Watuhumiwa wanaachiwa.
Kumbuka nia hupitea na kurudi mda wowote
 
Yeah ndio maana nimekubali vita ya ufisadi ilikuepo ila nachosema ilikua biased yaani wezi 20 afu unakamata wawili pekee!!

Mfano hii kesi ya EGMA gavana wa BOT au waziri wa uchumi wanaponaje? Mgimwa na Mkullo walitajwa ila mbona sijasikia waziri yeyote akikamatwa?? Hivi kweli Shose na Sioi waiibie serikali bilion 12 bila "wazee" kuwaandalia njia?

Na ndio maana kuna uzi humu wa Lissu kuwa kumkamata Seth haitoshi maana wizi ni mnyororo so kma unataka kumaliza ufisadi ni kukamata mnyororo wote kuanzia katibu wa Rais mpaka teller aliyetoa hela kwenye masandarusi!!
Ulitaka JK awekwe ndani?
 
Mbwembwe nyingi: "photostat copies" for real?
 
Back
Top Bottom