Rugemalira hajafungua kesi ya kuidai serikali Bali anaisaidia serikali kulipwa pesa zake.
Shida nayoiona watu hawasomi hiyo case na hawataki kusoma
Hata hii ya sioi nayo watu hawajasoma hoyo case
Mkuu unachotakiwa kujua wana jf wengi ni wafata mkumbo na wengi hawasomi habari bali wana comment tuu....... wengi fikira zao ni kuwa inashitakiwa serikali ya Magufuli.....
Wengi hapa hata hawajui case ina husu nini kwasababu wanategemea watu wawasomee wao wajadili baada ya kutafuniwa.... ndio maana unaona wengi hapa wanajadili tofauti na kilichomo kwenye case na wengi wanazungumzia hiasia
Nadhani unajua waliochota hiyo hela ya Escrow ni Simbanet ambao wenye kampuni ni siblings za msoga ambao walimtumia sethi kuzikwapua baada ya kukosa mtu jasiri na mzoefu wa ukwapuaji hapa Tanzania. Huoni JPM alistahili angalau kumpongeza kuweza kumtundika ndani sethi na puto lake?Nimesema katibu wa Rais maana najua JK ana kinga.
Haya tuambie wewe waliongea nini[emoji23][emoji1787]Unaelewa Mama Samia alipomtembelea Lowasa nyumbani kwake waliongea nini?
Ume comment bila kusoma au hujui English anae shitakiwa sio serikali ,,[emoji23][emoji1787]Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Mwenye haki ya kutoa hukumu ni Mungu pekee, wewe ni nani kumhukumu mwenzako!? Harafu we dogo punguza hasira zako kwa mwendazake, mwenzio keshamaliza safari yake... hujui mipango ya Mungu bado, utakuja kufa vibaya sana!mungu wenu wa Chato ni huyo Magufuli.
Soma vitabu vya dini zote utaelewa kwa matendo ya mtu huyo makazi yake ni Jehenamu.
Nyumbu za mtaa wa ufipa zinakurupuka Ku comment hata kusoma hawajui [emoji23][emoji1787]Sasa kina Matolla unategemea wawe na akili kweli?
Forensic auditing ingegundua hayo ila cha msingi ni kukamaya mnyororo wote. Mfano watu wa serikali waliotoa go ahead pesa ilipwe, Stanbic iliruhusu vp kutoa hela bila kukatwa kodi, watu wa TRA, wabunge wa CCM walipata mgao, mapadri, mawaziri n.k yaani walipaswa watu kma 200 hivi wakamatwe mpka mzizi ujulikane. Eti unaenda kamata watu wawili na ndio maana ushahidi unakosekana kila siku mpka mmemuachia Ruge!!Nadhani unajua waliochota hiyo hela ya Escrow ni Simbanet ambao wenye kampuni ni siblings za msoga ambao walimtumia sethi kuzikwapua baada ya kukosa mtu jasiri na mzoefu wa ukwapuaji hapa Tanzania. Huoni JPM alistahili angalau kumpongeza kuweza kumtundika ndani sethi na puto lake?
Mwanasheria mkuu na waziri wa fedha ni serikali mkuu, maana wanawakilisha serikali au anewashitaki as individual na sio kwa nafasi zao?Ume comment bila kusoma au hujui English anae shitakiwa sio serikali ,,[emoji23][emoji1787]
Waziri ni nafasi sio mtu.Waziri wa fedha anaeshtakiwa ni yupi?Mwigulu au Mpango?kama Mpango akipatwa na hatia!je atawajibishwa ?au kujiuzulu??
Sioi siyo Mmasai!Mmasai kichwa ishapata moto. Alianza Rugemarila, Sioi hapa lazima kulikuwa na mashtaka ya kupikwa kuwatia ndani. Hapa inavyoonekana sioi anatingisha kibubu apate kiasi gharama zake za kupotezewa muda ili hali yeye labda alitenda kwa shinikizo toka kwa wanasiasa.(Lazima walioshitakiwa kwenye hii kesi wako pamoja incl binti yule na aliyekuwa Kamishna wa kodi)
Kuna dot ndefu hapa toka msoga mpaka utokaji wa hii fedha. Rex hawako nyuma watasimamia haki ya mteja wao ipatikane.
Siyo kesi ya hivyo, ameshitakiwa waziri, kwa niaba ya serikali. Kwa hapo ni Mwigulu, ambaye hatafika mahakamani, bali wana sheria wa serikali. Zingatia kwamba mwanasheria wa serikali ameshitakiwa pia!Waziri wa fedha anaeshtakiwa ni yupi?Mwigulu au Mpango?kama Mpango akipatwa na hatia!je atawajibishwa ?au kujiuzulu??
The shadow of msoga is vast[emoji2]Mmasai kichwa ishapata moto. Alianza Rugemarila, Sioi hapa lazima kulikuwa na mashtaka ya kupikwa kuwatia ndani. Hapa inavyoonekana sioi anatingisha kibubu apate kiasi gharama zake za kupotezewa muda ili hali yeye labda alitenda kwa shinikizo toka kwa wanasiasa.(Lazima walioshitakiwa kwenye hii kesi wako pamoja incl binti yule na aliyekuwa Kamishna wa kodi)
Kuna dot ndefu hapa toka msoga mpaka utokaji wa hii fedha. Rex hawako nyuma watasimamia haki ya mteja wao ipatikane.
Baba yenu ameipiga nchi yetu, hasara endelevu!Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.πππ Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
sioi pia ni mwanasheria advocateMjinga, wanasheria uchwara wanataka kumlia hela tu huyu dogo. Ana makosa atulie na EL mkwe wake ndo alimtoa jela.
Atulie, wanamjaza ujinga.