Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

Rugemalira hajafungua kesi ya kuidai serikali Bali anaisaidia serikali kulipwa pesa zake.
Shida nayoiona watu hawasomi hiyo case na hawataki kusoma
Hata hii ya sioi nayo watu hawajasoma hoyo case

Ukisoma comments nyingi na uhalisia wa kilichokuwa attached hapa kwa hiyo kesi ya Sioi unabaki kushangaa,kumbe watu wanarukiaga kucomment tu bila hata kusoma kwanza.
 
Mkuu unachotakiwa kujua wana jf wengi ni wafata mkumbo na wengi hawasomi habari bali wana comment tuu....... wengi fikira zao ni kuwa inashitakiwa serikali ya Magufuli.....
Wengi hapa hata hawajui case ina husu nini kwasababu wanategemea watu wawasomee wao wajadili baada ya kutafuniwa.... ndio maana unaona wengi hapa wanajadili tofauti na kilichomo kwenye case na wengi wanazungumzia hiasia

Yani inasikitisha sana,na hawa ni wakali kweli kweli ukijaribu kuwaelewesha.Inabidi kuwaacha tu wacomment kile kinachowafurahisha wao.
 
Nimesema katibu wa Rais maana najua JK ana kinga.
Nadhani unajua waliochota hiyo hela ya Escrow ni Simbanet ambao wenye kampuni ni siblings za msoga ambao walimtumia sethi kuzikwapua baada ya kukosa mtu jasiri na mzoefu wa ukwapuaji hapa Tanzania. Huoni JPM alistahili angalau kumpongeza kuweza kumtundika ndani sethi na puto lake?
 
Kesi za namna hii zitaligharimu Taifa pesa nyingi sana, kila mtu aliebambikiwa kesi akiamua kudai Fidia ni harara kubwa sana kwa Jamhuri, hakuna sababu ya kuwaweka watu ndani tena kwa miaka mingi kama hakuna evidence za makosa
Ume comment bila kusoma au hujui English anae shitakiwa sio serikali ,,[emoji23][emoji1787]
 
mungu wenu wa Chato ni huyo Magufuli.

Soma vitabu vya dini zote utaelewa kwa matendo ya mtu huyo makazi yake ni Jehenamu.
Mwenye haki ya kutoa hukumu ni Mungu pekee, wewe ni nani kumhukumu mwenzako!? Harafu we dogo punguza hasira zako kwa mwendazake, mwenzio keshamaliza safari yake... hujui mipango ya Mungu bado, utakuja kufa vibaya sana!
 
Nadhani unajua waliochota hiyo hela ya Escrow ni Simbanet ambao wenye kampuni ni siblings za msoga ambao walimtumia sethi kuzikwapua baada ya kukosa mtu jasiri na mzoefu wa ukwapuaji hapa Tanzania. Huoni JPM alistahili angalau kumpongeza kuweza kumtundika ndani sethi na puto lake?
Forensic auditing ingegundua hayo ila cha msingi ni kukamaya mnyororo wote. Mfano watu wa serikali waliotoa go ahead pesa ilipwe, Stanbic iliruhusu vp kutoa hela bila kukatwa kodi, watu wa TRA, wabunge wa CCM walipata mgao, mapadri, mawaziri n.k yaani walipaswa watu kma 200 hivi wakamatwe mpka mzizi ujulikane. Eti unaenda kamata watu wawili na ndio maana ushahidi unakosekana kila siku mpka mmemuachia Ruge!!

Hta issue ya EGMA ilipaswa Mkullo awe ndani ilipaswa operatives wa BOT wawe ndani, ilipaswa wana TISS kibao wawe ndani, ila cha kushangaza mnakamata watu wa private sector ila wanasiasa mkawaacha wakati wao ndio wali facilitate kila kitu.
 
Ume comment bila kusoma au hujui English anae shitakiwa sio serikali ,,[emoji23][emoji1787]
Mwanasheria mkuu na waziri wa fedha ni serikali mkuu, maana wanawakilisha serikali au anewashitaki as individual na sio kwa nafasi zao?
 
Mmasai kichwa ishapata moto. Alianza Rugemarila, Sioi hapa lazima kulikuwa na mashtaka ya kupikwa kuwatia ndani. Hapa inavyoonekana sioi anatingisha kibubu apate kiasi gharama zake za kupotezewa muda ili hali yeye labda alitenda kwa shinikizo toka kwa wanasiasa.(Lazima walioshitakiwa kwenye hii kesi wako pamoja incl binti yule na aliyekuwa Kamishna wa kodi)

Kuna dot ndefu hapa toka msoga mpaka utokaji wa hii fedha. Rex hawako nyuma watasimamia haki ya mteja wao ipatikane.
Sioi siyo Mmasai!
 
Waziri wa fedha anaeshtakiwa ni yupi?Mwigulu au Mpango?kama Mpango akipatwa na hatia!je atawajibishwa ?au kujiuzulu??
Siyo kesi ya hivyo, ameshitakiwa waziri, kwa niaba ya serikali. Kwa hapo ni Mwigulu, ambaye hatafika mahakamani, bali wana sheria wa serikali. Zingatia kwamba mwanasheria wa serikali ameshitakiwa pia!
 
Mmasai kichwa ishapata moto. Alianza Rugemarila, Sioi hapa lazima kulikuwa na mashtaka ya kupikwa kuwatia ndani. Hapa inavyoonekana sioi anatingisha kibubu apate kiasi gharama zake za kupotezewa muda ili hali yeye labda alitenda kwa shinikizo toka kwa wanasiasa.(Lazima walioshitakiwa kwenye hii kesi wako pamoja incl binti yule na aliyekuwa Kamishna wa kodi)

Kuna dot ndefu hapa toka msoga mpaka utokaji wa hii fedha. Rex hawako nyuma watasimamia haki ya mteja wao ipatikane.
The shadow of msoga is vast[emoji2]
 
Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.😂😂😂 Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
Baba yenu ameipiga nchi yetu, hasara endelevu!
 
Ata mi nashanga" yanini kutoa boriti kwenye jicho la mwenzako wakati ww unayako yasiojulikana nje ya jamvi la jamii forums.

Kila zama na mambo yake.
 
Kwani walipoambiwa kipindi cha jiwe watu walikua hawajui ni ni wanafanya , walijifanya ooh chuma mara jiwe mara mtukufu , haya sasa na bado kuna vingi vitaibuka ili ulimwengu ujue kuwa kulikua hakuna mtu pale bali ni lisanamu tu lililokua linatumia miguvu bila kutumia akili, jitu limeokotwa huko machakani burundi linakuja kupewa nchi , yani pale walikosea sana
 
Back
Top Bottom