Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

Sioi Solomon awaburuza Mahakamani, ICBC Standard Bank, Stanbic Bank Tanzania Ltd, Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu

Usisahau haya yote ni matunda ya yule Mzee wako Jiwe! Na wakishinda kesi maana yake kodi zetu ndiyo zitatumika kuwalipa fidia! Huku kukiwa hakuna faida yoyote ile kwa taifa kutokana na kuwaweka ndani kwa muda mrefu, na pasipo na mashtaka yoyote yale ya kueleweka.
Kwani hiyo kesi si ilianzia uingereza ambapo Standard Chartered Bank ilipatikana na hatia ya kutoa rushwa kwa Viongozi wa serikali ili ipate tenda? Mnaongea msiyoyajua!
 
Juzi nimeenda pale kumekucha kwenye mbuzi si nikakuta wameweka nyimbo ya jim reeves nikapata wenge hatari...

Muda wa kufanyiwa auditing na wazee wa ukoo umefika😂😂😂😂
Muda wa kujieleza umefanya nini mjini kwa mwaka mzimq🤣🤣🤣
 
naona watu wameanza kudai hela zao sasa...
ni wakati wa ndugu zetu wanasheria kurudi kaanani sasa....namuona aunt yetu soon akitukimbia na kuwa busy hahahaha...
Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.😂😂😂 Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
 
Hizi kesi za fidia huanzaga kama utani kwenye maskhara vile.. Mwisho wa siku watu hulipwa mpunga mrefu sana
Sioi Sumari amemuo Pamela binti wa Edward Lowasa, na ni majuzi tu Chief Hangaya alikwenda kumtembelea Lowasa nyumbani kwake.

Tumezoea kuona watu wakitafuta kwa udi na uvumba nafasi ya kwenda kumuona Rais ofisini lakini nafasi hiyo haipatikani, achilia mbali kwenda nyumbani kwa Rais.

Sasa cha kushangaza Lowasa anatembelewa yeye na Rais, na baadaye mkwe wake Sioi anaibuka kutoka mafichoni na come back hii, kwa watu wenye akili timamu wanaweza kuconnect dots kilichojili kwenye maongezi ya Chief Hangaya na Laigwanani Lowasa.

Tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini.
 
Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.😂😂😂 Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
Magufuli hawezi kupumzika kwa amani usijidanganye nafsi yako.

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.😂😂😂 Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
Umekariri vibaya sana Komredi......

Nchi hii ni kubwa na pana zaidi ya viongozi "wapitao"...

#SiempreJMT
 
Mafisadi naona wanakuja kwa Kasi kurudisha fedha walizotapishwa na Mwendazake.
Sawa Kikwete tumekuelewa,umesharudisha wafanyakazi hewa wako,Bandari ya Bagamoyo,hata ile gauge ya kusoma mafuta bandarini nafikiri utakuwa umeikata tena.
Just suffer in silence, no need to scream.
 
Pandora box limefunguka. Wapigaji moja baada ya mwingine wanaenda kununua haki. Wanasheria wauza haki wameingia tena kazini.😂😂😂 Magufuli mungu akupumzishe milele kwa amani. 2025 kwa uwezo wa mola tutampata mrithi wako.
Mrithi gani tena? Haya yanayoibuka yametokea wapi? Nini chanzo chake?
 
Mbona anashtaki Standard Bank ilipe serikali ya Tanzania? Naona wengi hamjasoma document kabla ya kucomment
Mkuu unachotakiwa kujua wana jf wengi ni wafata mkumbo na wengi hawasomi habari bali wana comment tuu....... wengi fikira zao ni kuwa inashitakiwa serikali ya Magufuli.....
Wengi hapa hata hawajui case ina husu nini kwasababu wanategemea watu wawasomee wao wajadili baada ya kutafuniwa.... ndio maana unaona wengi hapa wanajadili tofauti na kilichomo kwenye case na wengi wanazungumzia hiasia
 
Back
Top Bottom