Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Naam nawaza utaratibu gani utatumika kuhakikisha kila aliyeingia uwanjani kwa ajili ya mashindano ya quran aweze kutoka kupisha waliolipia viingilio vya mechi baada ya mashindano hayo kuisha. Kumbuka mashindano hayo ya quran kiingilio ni buure kabisa.
Lakini bado nawaza, kweli nchi nzima yenye miaka 60 ya uhuru ina uwanja mmoja tu wenye hadhi kiasi kwamba wakakosa uwanja mwengine wa kuweka hii mechi.
Ngoja tusubirie tuone mambo yataendaje, mimi binafsi ntakua zangu na rimoti nyumbani kwangu nikifuatilia kupitia DStv.