Siombei lakini natarajia vimbwanga siku ya mechi ya Simba Jumapili

Matamasha ya kina Rose muhando yanafanyika miaka yote na hakuna kelele. Waislam wala hawakai kwenye Pitch, mara nyingi wao hukaa jukwaani, au unadhani wale ni waimba sebene kwamba watachimbua nyasi za uwanja?
Niko far mile kwenye akili kuzidi mzee. Kichwa chako kibovu, na una uelewa finyu sana, wewe ukiambiwa MASHINDANO YA KUSOMA QURAN unaona kwamba haifai wafanyie hapo au sio?? Ila Diamond akitumia kutumbuiza ni sawa?? Bonny Mwaitege akitumbuiza ni sawa??
Kilichokutoa kwenye reli ni neno MASHINDANO YA QURAN, lkn wangetumia TAMASHA LA USOMAJI WA QURAN ungeona sawa.
Simba wakitaka uhuru huo WAKACHEZEE BUNJU. Ndio maana ukaitwa uwanja wa TAIFA. KWANI HIYO NI MARA YA KWANZA KUTUMIKA KUFANYA HAYO MASHINDANO??
HAO SIMBA WAKATUMIE UWANJA WA BUNJU.
kunya anye kuku,akinya bata kaharisha
 
Kwanza mpira haramu sheikh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa,Sasa gamieni Mwembe Yanga...
Huo, ni uwanja wa haramu...Joking,
Yaani Waarabu na Wazungu wametuharibu,tayari Kuna watu wamelufanya hiki Ubishi wa Kidini!
 
Matamasha ya kina Rose muhando yanafanyika miaka yote na hakuna kelele.

Waislam wala hawakai kwenye Pitch, mara nyingi wao hukaa jukwaani, au unadhani wale ni waimba sebene kwamba watachimbua nyasi za uwanja?

Niko far mile kwenye akili kukuzidi mzee. Kichwa chako kibovu, na una uelewa finyu sana, wewe ukiambiwa MASHINDANO YA KUSOMA QURAN unaona kwamba haifai wafanyie hapo au sio?? Ila Diamond akitumia kutumbuiza ni sawa?? Bonny Mwaitege akitumbuiza ni sawa??

Kilichokutoa kwenye reli ni neno MASHINDANO YA QURAN, lkn wangetumia TAMASHA LA USOMAJI WA QURAN ungeona sawa.

Simba wakitaka uhuru huo WAKACHEZEE BUNJU. Ndio maana ukaitwa uwanja wa TAIFA. KWANI HIYO NI MARA YA KWANZA KUTUMIKA KUFANYA HAYO MASHINDANO??

HAO SIMBA WAKATUMIE UWANJA WA BUNJU.
We jamaa ni zero brain kabisa ,bahat mbaya hujui Kama ni zero brain .

Wakina boni mwaitege ,Rose muhando wanafanya matamasha kukiwa na mechi hapo taifa au wanafanya km ratiba ya mechi haipo .

Swali dogo tu purpose ya uwanja ni maswala ya kidini au mpira ,ujinga wako wote umelala hapa hujui hata kazi ya huo uwanja.

Wakati huo uwanja unajengwa malengo ya huo uwanja yalikua ni yepi?

Ni uwanja wa taifa ndio ,lakin ni uwanja wa kusalia au uwanjawa taifa wa michezo hasa mpira.

Tokea Lin diamond alisababisha mchezo usichezwe kisa yeye Ana show?

Nikisema wewe ni kilaza ntakua nakosea ? Kwa akil yako mgando unataka kusema Simba ndio wanapaswa kupisha mashindano ya kidini ambayo hayana hata kiingilio na pale sio mahala pake ,Kuna misikiti ,kusipo kuwa na mechi hapo sawa wanatumia lakin kukiwa na mechi anayepaswa kupisha ni hayo mashindano ya kidini.

Unataka kuniambia tff itamfukuza Simba hapo uwanjan ambaye anaingiza mapato na kuruhusu mashindano ya kidini yenye kiingilio bure?
Nakuuliza Tena swali ule ni uwanja wa taifa ulijengwa kwa dhumuni lipi? Ujinga wako wote umelala hapa kwenye hili swali.
 
lakini hata kabla mechi haijapangwa tarehe wala muda hayo mashindano yalikua yameshatangazwa muda mrefu sana.Ko waandaaji hawana kosa kupanga mashindano yao ko punguza chuki dhidi yao mzee
 
Sina chuki Zaid naongelea nan apewe kipaumbele kwa hapa?

Ratiba ndio ilipangwa lakin hili la Simba likekuja baadae na ifahamike ule uwanja ni wa mpira kwa asilimia kubwa na ndio malengo ya kujenga ule uwanja.

Labda chakuniambia ungesema itumike busara mmoja ampishe mwenzie akafanyie Jambo lake hapo Uhuru ,je nan wa kumpisha mwenzie hapa utaona kabisa ni hayo mashindano ya kidini.

Lupaso imepitwa na caf kuchezea mashindano ya club bingwa na shirikisho Sina hakika km Uhuru nayo imepitishwa.

Any way lolote litakalotokea sawa tu kikubwa pasiwepo usumbuf wa baadhi ya watu kutaka kitonga cha kubakia uwanjan baada ya mashindano ya dini kutamatika.
 
Suma jkt wapo tayari kufanya kazi yao,hakuna atakayezamia.Bahati nzuri CAF,Simba SC na waandaaji wa mashindano ya Qur'an walikaa pamoja na kukubaliana mambo yote yafanyike,hivyo sioni ajabu yoyote
 
Tayari mechanic imeshasogezwa mbele mpaka saa moja usiku
 
Mkuu kabla ya Game hiyo, waislam walishaomba huo uwanja zamani kidogo. Hivyo Simba game yao imekuja baadae.

Kwa ujumla ni Rahisi kusogeza siku au muda wa mechi mbele kuliko hayo mashindano, ambayo maandalizi yake yameanza wiki 3 nyuma huko.
Mashindano ya Quran na uwanja wa mpira ni wapi na wapi?
Uwanja wa mpira ubakie kwa shughuli za mpira kwa kadri inavyowezekana na sio mambo mengine.

Tunapaswa kuwa focus na standards.
 
Back
Top Bottom