Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.

Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.

Kitandani wanawake wote ni sawa.
KALIO KUBWA size kama ipi mkuu?
 
Faida kubwa anashawish pia mskubwa Yana stail zake ila ili uyafaif ni mpaka uwe na size nzur kama una kibamia huwez kuona faida yake sababu utaishia juu tu
 
kama Mungu alipanga siku ya hukumu (kiama) iwe ni moja nahisi inabidi afanye review ya ratiba yake maana inawezekana ikamchukua wiki nzima!!
usicheze na Mungu mkuu, siku 1000 ni kama siku 1 kwa Mungu..anaweza hata kwa sekunde

JF hoyeeee
 
Hayo ni maoni yako mkuu. Vipi baada ya kitandani, mwenye nalo akiwa ndani akipitapita huku na kule huoni hilo kalio anakupa hamasa ya kurudi tena kwa bed.
 
Unasemaje[emoji1]?
Gallery_1620200375048.jpg

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ya makalio yana mwisho, wakati mwingine mwisho mbaya.
Kuna jamaa hapa alianzisha uhusiano na mke wa staff mwenzake, wa shirika moja kubwa liko Tanzania nzima. Huyo mke na mume walikuwa ofisi za wilaya tofauti hapahapa Dar. Demu alikuwa na kalio la balaa! Jamaa kamrubuni demu hadi akaondoka kwa mume akaenda kumjengea mahali pengine akawa anajilia tartiibu! Muda si muda yule demu akapata kiharusi nafikiri ni yale maunene yake, sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani hajitambui!
Namfikiria tu huyo aliyekimbilia kalio hadi akavunja ndoa ya mwenzie sasa hivi anajisikiaje. Kalio kweli alichukua, lakini sasa hivi hawezi kulifanyia chochote.

Ujumbe kwa wanaume: tusiendeshwe na makalio.
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyetajwa kwenye hii story amefariki mwezi uliopita baada ya kuteseka kwa muda mrefu sana.
Ndugu zake wakaenda kumzika kwao kama vile hakuwahi kuolewa!
 
Pole sana
 
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.

Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.

Kitandani wanawake wote ni sawa.

Huo utafiti ni wakuweka mbali na watoto,yaani mwanamke tako kama goti halafu ufananishe na..................
,niliwahi kuwa na mwenye tako la wastani lakini tulivyokua tumezoeana tukiwa nae akitokea aliyebarikiwa zaidi yake ananiambia usivunge we muangalie tuu
 
Kwani mkuu mwanaume mwenye six pack anazitumia kitandani? Ni mvuto tu hata wa huko chumbani.

Huwezi kufananisha mwenye kalio na asiye nalo katika kuhamasisha/kutamanisha
Huwezi kufananisha mwenye six pack na mwenye kitambi katika kutamanisha

Japo tunashukuru kwa faraja yako kwa wasio/tusio nayo ila tako linaamsha amsha zake katika hizo mambo
Ukweli mchungu kwa Motorola bapa
 
Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Haya mdao tuma application usikie vionjo huenda initially ulikwenda wrong door

1624818395111.png

Tuma maombi hapa
 
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.

Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.

Kitandani wanawake wote ni sawa.

Ndiyo nyuzi zako za kipuuzi hivi halafu unataka ujilinganishe na Lissu?😝😝😝😝😝😝
 
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.

Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.

Kitandani wanawake wote ni sawa.

Mkuu kumbe nje ya siasa za lumumba huwa unajiachia kwenye mada kama hizi
 
Mke/Mpenzi ni zaidi ya chumbani hizo makalio,Uzuri wa sura,sifa za nnje

watu hatuzitaki kwasababu ya chumbani,tunazitaka kama ilivyo mtu anaacha

PASSO showroom anachagua IST, anaacha FUNCARGO anachukua Crown yani hivyoo...

au kama ilivyo siku ya HARUSI maharusi hawachagui starlet kama gari ya kuwabeba,watachagua/kodisha

gari yenye muonekano kwasababu ni siku yao ya pekee wanahtaji treatment ya kipekee pia,hope ushaelewa kazi ya Tako..
 
Back
Top Bottom