Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
KALIO KUBWA size kama ipi mkuu?Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.
Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Kitandani wanawake wote ni sawa.
usicheze na Mungu mkuu, siku 1000 ni kama siku 1 kwa Mungu..anaweza hata kwa sekundekama Mungu alipanga siku ya hukumu (kiama) iwe ni moja nahisi inabidi afanye review ya ratiba yake maana inawezekana ikamchukua wiki nzima!!
Mtoa mada hayuko serious [emoji12]
Kama inakuumiza chomoa kenge wewe utakuja ufeInauma sana mkuu
Daah Safi sanaAsikudanganye mtu, nyumba ni choo.
Sasa kama hili faida yake nini kama sio kero
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyetajwa kwenye hii story amefariki mwezi uliopita baada ya kuteseka kwa muda mrefu sana.Haya mambo ya makalio yana mwisho, wakati mwingine mwisho mbaya.
Kuna jamaa hapa alianzisha uhusiano na mke wa staff mwenzake, wa shirika moja kubwa liko Tanzania nzima. Huyo mke na mume walikuwa ofisi za wilaya tofauti hapahapa Dar. Demu alikuwa na kalio la balaa! Jamaa kamrubuni demu hadi akaondoka kwa mume akaenda kumjengea mahali pengine akawa anajilia tartiibu! Muda si muda yule demu akapata kiharusi nafikiri ni yale maunene yake, sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani hajitambui!
Namfikiria tu huyo aliyekimbilia kalio hadi akavunja ndoa ya mwenzie sasa hivi anajisikiaje. Kalio kweli alichukua, lakini sasa hivi hawezi kulifanyia chochote.
Ujumbe kwa wanaume: tusiendeshwe na makalio.
Pole sanaNasikitika kuwajulisha kuwa aliyetajwa kwenye hii story amefariki mwezi uliopita baada ya kuteseka kwa muda mrefu sana.
Ndugu zake wakaenda kumzika kwao kama vile hakuwahi kuolewa!
Akilala utaliona?Wewe jamaa hauko serious kabisaView attachment 1777194View attachment 1777197View attachment 1777200
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Huo utafiti ni wakuweka mbali na watoto,yaani mwanamke tako kama goti halafu ufananishe na..................Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.
Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Kitandani wanawake wote ni sawa.
Kuna vya malumalu na passportsize aka pooltableAsikudanganye mtu, nyumba ni choo.
Ukweli mchungu kwa Motorola bapaKwani mkuu mwanaume mwenye six pack anazitumia kitandani? Ni mvuto tu hata wa huko chumbani.
Huwezi kufananisha mwenye kalio na asiye nalo katika kuhamasisha/kutamanisha
Huwezi kufananisha mwenye six pack na mwenye kitambi katika kutamanisha
Japo tunashukuru kwa faraja yako kwa wasio/tusio nayo ila tako linaamsha amsha zake katika hizo mambo
Haya mdao tuma application usikie vionjo huenda initially ulikwenda wrong doorUkweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.
Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Ndiyo nyuzi zako za kipuuzi hivi halafu unataka ujilinganishe na Lissu?ππππππWatu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo, wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.
Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Kitandani wanawake wote ni sawa.
Mkuu kumbe nje ya siasa za lumumba huwa unajiachia kwenye mada kama hiziWatu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.