Kama umemnukuu kwa usahihi , bw West kasema collage yaani mkusanyiko wa picha hivi na sio college.
Je wewe kwa mfano, unapata elimu kwa manufaa yako au kwa manufaa ya atakayekuajiri?
Duniani sio lazima ujielimishe, ila kuna umuhimu wa kujielimisha hasa kama unajitambua na una lengo la kimaisha. Duniani sio lazima uajiriwe, kama elimu imekukomboa, hutajua jinsi gani ya kuendesha maisha yako. Elimu na ujuzi haupatikani chuoni tu, kwa zama za sasa, zinapatikana popote, bora tu utulize akili na ujifunze utakacho.