Sioni haja ya kwenda chuo

Sioni haja ya kwenda chuo

da we jamaa umegusa mule mule mi nataka nisomee lile la kuhamisha container yale ya bandari kavu unanishauri vipi chuo nimepata( Ihet) kipo mwenge ..
Hyo course upo sawa , ukitoka tu chuo nenda kajitolee pale bandarini , kila siku watakupa za macho haipungui elfu 15 ila wakiandikana wana tabia ya kuwachukua wale wa kujitolea kwanza always , kikuu wale ke pale human resource kuwa karibu nao sana .
Hata wenye magari hatukosi kukuachia za macho ...all the best
 
Umeongea kisomi kweli mkii
Lengo sio upfront ni appear as an academic , in real life I'm pretty chilled bila mengi though with a darth of knowledge in the legal arena , chakwangu ni huyo dogo aelewe kuwa education is very important in any aspect of society.
 
Mkuu mawazo yako haya apply kwa wote, na majority wamechukua path ya chuo na kuja kuregret baadae. Sikatai elimu ni muhimu ila path ya chuo, sio applicable kwa wengi, hasa nyakati hizi
 
Kingine device yangu inatunza maneno niliyotype zamani so inayaweka automatically hata kama nikilipatia neno inaleta la zamani. Device language ni English.
sawa elimu bado unaihitaji ili uweze kwenda kwenye settings za keyboard yako , kisha dictionary alafu udelete maneno ambayo umeifundisha keyboard yako . Tafadhali rudi shuleni bwana de gu
 
sawa elimu bado unaihitaji ili uweze kwenda kwenye settings za keyboard yako , kisha dictionary alafu udelete maneno ambayo umeifundisha keyboard yako . Tafadhali rudi shuleni bwana de gu
Nalijua hilo mkuu, ndo maana nilikwisha eleza kwenye thread, halafu. Usilinganishe elimu na vitu vidogo kama typing errors.
 
Elimu ya chuo ingekusaidia kujua kua hiyo divice unaweza kui_set ikaacha kufanya autocorrect, kwa kifupi unapwaya sana nenda chuo kafute ujinga huko kichwani
Naomba usome uzi mkuu, tatizo nimeshalisolve na chuo siendi.
 
Back
Top Bottom