Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nilisisitiza kuhusu kada nyingi kukosa soko.Hata mambo ya psychology ambayo hayana soko?
Mimi naishi umo saikolojia
Sio hivyo tu unaweza kuwa vizuri ukaelewa na kujua mambo ila ukaja kugundua elimu uliyoipata iko outdated. Point yako inamashiko pia mkuu watu wanaenda vyouni kutafta vyeti tu.Tatizo elimu zetu zinatufundisha kukariri notes, na si kutenda, ndio maana tunaona ajira zinakuwa ngumu, kwa sababu ni elimu tuliyopata haitusaidii kutengeneza kitu na kuuza.
da we jamaa umegusa mule mule mi nataka nisomee lile la kuhamisha container yale ya bandari kavu unanishauri vipi chuo nimepata( Ihet) kipo mwenge ..kwa kuwa waarabu wamepewa bandari nina uhakika kuna machinery inayoitwa guantry craneau ship to shore crane ,bongo waliosomea ni wachache sana hata 50 hawafiki na wengi ni wazee , ni course ya miezi mitatu tu , ila ukiipata hio post utanishkuru sana , mshahara kando ndo nitoe lorry pale bandari haraka wengitunawapa wale jamaa za macho, nenda kaiulizie nahisi inasomeshwa pale bandari college temeke hapa dar
Ndo maana nilisisitiza kuhusu kada nyingi kukosa soko.
Kuhusu psychology lazima iwe na soko due to the rise of depression, anxiety and mental issues because of life struggles. Sijui mengi kuhusu kazi zenu, ila najua world wide kuna ongezeko la matatizo ya kisaikolojia.
Sikubahatika kupenda masomo hayo, ila baada ya kupitia mengi nime kuja kudive sana kwenye such things. Najua umuhimu wake hasa kwenye ustawi wa afya na maendeleo yangu. Mental health is a priority
Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.
Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.
High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
Maisha ni timing tu mkuu wa mkoa wa DSM kasema hela haitafutwi ila inategwa tuUmeona! Alaf unakutwa mwamba anaponda mali kichizi kumbe ni form4 leaver kajipatia kileseni veta maisha yakasonga.🤣
Kinachofelisha Elimu ya bongo kukariri kwingi , hakuna kupata maarifa sahihi yenye manufaa.Kaka kaka wewe kama mimi tuuu...
Naona muda unakwenda alafu nachokipata ni tofauti ..
Una soma computer ila unatoka hapa kichwani hamna kitu wewe unajua defin tuu ila practical hamna kitu kabisa.
Hao wanaosema degree itakulipa inategemea na Degree ya nini..
Kuna. Sisi ambao tusha left huko vyuo mapema kabisa.. kazi ni kwenda ku sign hiyo 700k na kupita hvi.
Kiufupi tulienda kutafuta capital ya kufanya mambo mengine basi...
MKuu kwanini umemwambia asichukue uhasibu?Cha kwanza dogo usifuate nyayo za Kanye West uliyemquote utapotea, pili chagua elimu ya vitendo kwa dunia ya sasa hivi, elimu ni nguzo muhimu ambayo kwa vitendo itakusaidia dunia hii, nilipokuwa ulipo nikitoka high school niliwaza kama wewe ila mbeleni nilifunguka akili , nilisoma kwa mateso sana chuo cha sheria UDOM ila leo matunda yake nnayaona , walio kataa kuendelea na masomo hamna anayenifikia hata kwa upeo wa mbali .
Usiangalie jobless wenzio kila mtu na nyota na safari yake , pambania kikombe chako papo hapo katktk ya wenzio.
mwisho cheki course isiyojulikana au kuwa watu wengi , nenda bandari , benki , industry uliza waliopo kule fanya research yako kisha chukua hatua , tahadhari usijaribu kufanya uhasibu or business courses .... all the best
FactSio lazima kusoma lakini lazima usome ili ujue sio lazima.
Hakika mkuu umegusa mlemle. 💯💯📌Hili ni tatizo ambalo wengi hawaliangalii
Nchi maskini kama hii ni tatizo kubwa kwa vijana hasa wanaojitafuta
Au mnafikiri wanaokimbilia ughaibuni ni wajinga ?
Mismanagement ya uchumi na mifumo ya uongozi ndio kiini cha tatizo , sera za kishenzi zisizo chochea ukuaji wa private sector
Uko sahihi kabisa na ninakuunga mkono, kwani hata college tu imekushinda kuandika, umeandika collage.Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.
Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.
High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
Hapo umenena mkuu, kuna mda tunapaswa kuangalia uhalisia wa mambo. Ila kuna watu wanamaliza vyuo wanasubiri ajira bila kuangalia ushindani. Ndo ivo unemployment gap inazidi kuwa kubwa.Mimi nachojua elimu haijawahi kumtupa mtu sababu huku mtaani pia kunahitaji elimu ya mtaa huwezi toka ulikotoka ukazani unakuja kupata pesa kirahisi
Jambo la msingi ni kuendelea kutatafuta maarifa kila siku Kuna IT wengi wanamaliza vyuoni bila ujuzi wowote ila Kuna Dunia ya sasa Kuna kozi zipo online unaweza kuendelea kujifunza zaidi