Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma chuo ili swali sikutegemea kutoka kwakoNa isipokulipa?
uache ujuaji dogo. Eti sio mbongo halafu auto correct ina maneno ya kibongo! Hujui hata preferences huwa zinafanya vp kazi.Elewa alokua sio mbongo. Full stop
Sasa we unafikiri hakua anawasiliana na wabongo! Emb acha kujifanya mtaalam wa tech! Kingine focus kwenye mada sio hizo auto corrections ambazo ni kazi ya AI🤣uache ujuaji dogo. Eti sio mbongo halafu auto correct ina maneno ya kibongo! Hujui hata preferences huwa zinafanya vp kazi.
Siku njema
nani amekuambia auto correction ni kAzi ya AI? Wewe unasema sio mbongo halafu tena unasema alikuwa akiwasiliana na wabongo? Unaulizwa alikiwa anatumia lugha gani hujibu!Sasa we unafikiri hakua anawasiliana na wabongo! Emb acha kujifanya mtaalam wa tech! Kingine focus kwenye mada sio hizo auto corrections ambazo ni kazi ya AI🤣
Why are you focusing on shitty stuff? Haya wewe ukijua itakusaidia nini. Emb kama huna cha kuchangia pita hivi... na kingine umeona ni mis spell neno la kiswahili tena. Acha kutetea point ambayo haina evidence.nani amekuambia auto correction ni kAzi ya AI? Wewe unasema sio mbongo halafu tena unasema alikuwa akiwasiliana na wabongo? Unaulizwa alikiwa anatumia lugha gani hujibu!
wewe ndio huna unachojua eti auto correct ni AI.Why are you focusing on shitty stuff? Haya wewe ukijua itakusaidia nini. Emb kama huna cha kuchangia pita hivi... na kingine umeona ni mis spell neno la kiswahili tena. Acha kutetea point ambayo haina evidence.
Hujui maana ya AI na hujui Technology so pita kama haukuwepo.
Define AI?wewe ndio huna unachojua eti auto correct ni AI.
bora baba yako angeweka bili ya tende msikiti wa mtoro kuliko pesa aliyopoteza
nani kakuambia nipo hapa kwa ajili ya kubishana? Halafu unajiita msomi !Define AI?
Kama unataka mabishano kweli, kama huwezi na usi Google nitajua tu. Kama huwezi usiendeleze majibizano maana sitajibu.
Ungesomea hukohuko nchini, kusoma nje ya nchi ni kukosa uzalendo kwa nchi yako.Ndio ila sio elimu ya chuo.
Hii ni kwa mtazamo wangu kwa elimu hasa nchini, labda kusomea nje.
Kusoma nje ya nchi ni kukosa Uzalendo kwa nchi yako???Ungesomea hukohuko nchini, kusoma nje ya nchi ni kukosa uzalendo kwa nchi yako.
So stupid answer! Nimekuambia udefine AI unaleta mambo ya cookies na preferences ambazo hata hazi make any correlation na swali nilo kuuliza. Wewe ume base kwenye kitu ambacho nimekifafanua apo awali, stop wasting your time kajenge taifa.nani kakuambia nipo hapa kwa ajili ya kubishana? Halafu unajiita msomi !
auTo correct ni kusahihisha sawa na lugha husika na kwenye cookies na preferences inasave maneno unayotumia mara kwa mara.
Kwahyo auto correct ilikusahihisha ila sababu mpumbavu weww hujui wapi L NA R zinakaa ukaipinga.
Una akili kweli?
elimu ni muhimu sana ila shida ni mentality zetu.Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.
Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.
High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West