de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
- Thread starter
- #81
Lengo langu ni kuwataarifu vijana ambao wanamatarajio na elimu ya chuo.Lengo lako ni nini?? Waulize ambao walikua na maoni km yako wakayatimiza kisha waulize walioendelea kusoma,
Hakikisha umewauliza usiwaone tu ukajiongeza .
Mm nimesoma chuo kada mbili tofauti, ila naona mrejesho wa nilichokisoma haukidhi maendeleo ya kasi katika ulimwengu wa science and technology. Nataka vijana waliangalie sawa hili mara mbili kabla ya kuchukua hatua..