Sioni haja ya kwenda chuo

Sioni haja ya kwenda chuo

Shida ni simu ina automation, nimeeleza kwenye thread pia..
Nenda shule kwa faida yako na watoto wako, shule haiukuzuii kufanya mishe zako zingine. Hicho ni kisingizio cha sizitaki mbivu hizi, nikiona mtu anakandia elimu namuhurumia sana.
 
We somea mambo magum mfano kilimo mifugo uvuvi ili hata usipo ajiriwa unajiajiri fresh tu ss ww sijui unasoma ma arts usipo ajiriwa ndo unakuja kutema shudu humu tangu ln elimu isiwe na umuhim we ndo huna umuhim mana kuna watu kupitia iyo elim wana maisha safi ss ivi na elim zao ss ww unasema haina umuhim ww ndo fala
Nimawazo yako pia🤣
 
Kiufupi asome course zitakazo mpa nafasi za operation eg logistics,bandari, ndege nk asiende kozi maarufu zenye watu wengi
Cha kwanza dogo usifuate nyayo za Kanye West uliyemquote utapotea, pili chagua elimu ya vitendo kwa dunia ya sasa hivi, elimu ni nguzo muhimu ambayo kwa vitendo itakusaidia dunia hii, nilipokuwa ulipo nikitoka high school niliwaza kama wewe ila mbeleni nilifunguka akili , nilisoma kwa mateso sana chuo cha sheria UDOM ila leo matunda yake nnayaona , walio kataa kuendelea na masomo hamna anayenifikia hata kwa upeo wa mbali .

Usiangalie jobless wenzio kila mtu na nyota na safari yake , pambania kikombe chako papo hapo katktk ya wenzio.

mwisho cheki course isiyojulikana au kuwa watu wengi , nenda bandari , benki , industry uliza waliopo kule fanya research yako kisha chukua hatua , tahadhari usijaribu kufanya uhasibu or business courses .... all the best
 
Back
Top Bottom