"Sioni hata ndoa moja ya mfano itakayonishawishi kuolewa........!"

"Sioni hata ndoa moja ya mfano itakayonishawishi kuolewa........!"

hakuna mapenzi yale ya kugandana ni siku za kale....mimi naimba tu hapa jamani...
nitaolewa sooon
 
Leo kikweli sina mood kabisaaaa! sijui kwanin kukawaga na hali ii. yaani Mtambuzi ngoja kwanza i'll be back.............

Kunywa maji ya matunda, pia utafute mahali tulivu upumzishe akili .......... Inasaidia kuondoa jakamoyo.
 
hakuna mapenzi yale ya kugandana ni siku za kale....mimi naimba tu hapa jamani...
nitaolewa sooon
Tena watu kama wewe, huwa ndoa zenu zinadumu kweli maana umejifunza mengi humu JF.
 
Ndoa ni kama urafiki...je hakuna rafiki mfano? na je urafiki hauvunjiki. Akili kichwani ndoa zinaendelea kuwepo na wengi wanazifurahia ndoa zao
 
Huyu anategemea akute ndoa nzuri mahali...yaani yeye aitumie tu!
Ndoa nzuri (bora) ni matunda ya juhudi za wawili!
kama sisi tulivoamua kuweka juhudi atiii!
 
Known as ugali in Kenya and Tanzania, this starchy, porridge-like side dish goes by different names in sub-Saharan Africa. In Malawi and Zambia it is called nsimaor nshima. The South African name for it is pap ormealie pap. Zimbabweans call it sadza.[h=3]Ingredients[/h]
  • Water - 4 cups
  • Salt - 2 teaspoons
  • White cornmeal, finely ground - 2 cups

[h=3]Method[/h]
  1. Bring the water and salt to a boil in a heavy-bottomed saucepan. Stir in the cornmeal slowly, letting it fall though the fingers of your hand.
  2. Reduce heat to medium-low and continue stirring regularly, smashing any lumps with a spoon, until the mush pulls away from the sides of the pot and becomes very thick, about 10 minutes. Remove from heat and allow to cool somewhat.
  3. Place the ugali into a large serving bowl. Wet your hands with water, form into a ball and serve
 
kama sisi tulivoamua kuweka juhudi atiii!

Definite babe....hakika!
Wanavyoona tunatabasamu hawajui ni matokeo ya kukubali kutofautiana...
BTW: Njoo pm nikuagizie kitu....ada ya shule ya Aneth...
 
Ulimwengu wa wenzetu umejaa mashetani makubwa
Wao wanaoana mpaka kwa mkataba wa miaka kadhaa (mfano miaka mitano)
Miaka mitano ikiisha let say mkawa na watoto wawili halafu mkata unaisha na hakuna ku renew hao watoto wataleleka vp?
Yaanii wamejawa mashetani kabisa
Huyo mwanamke lazima ana mapepo makubwa anatakiwa apelekwe kwa TB Joshua akaombewe........................
 
Definite babe....hakika!
Wanavyoona tunatabasamu hawajui ni matokeo ya kukubali kutofautiana...
BTW: Njoo pm nikuagizie kitu....ada ya shule ya Aneth...
teh watu wanazoana tu usiku maengagment ring yenyewe club wapo tilatila......ndoa ni zaidi ya urafiki ,best friends ever! kama sisi babe...yaani sijui tutoe muvi?
 
  • Thanks
Reactions: RR
Ulimwengu wa wenzetu umejaa mashetani makubwa
Wao wanaoana mpaka kwa mkataba wa miaka kadhaa (mfano miaka mitano)
Miaka mitano ikiisha let say mkawa na watoto wawili halafu mkata unaisha na hakuna ku renew hao watoto wataleleka vp?
Yaanii wamejawa mashetani kabisa
Huyo mwanamke lazima ana mapepo makubwa anatakiwa apelekwe kwa TB Joshua akaombewe........................
hivi lile jukwaa lipo?
 
mh after the experiences i have had...dont blieve in marriage at all...
 
teh watu wanazoana tu usiku maengagment ring yenyewe club wapo tilatila......ndoa ni zaidi ya urafiki ,best friends ever! kama sisi babe...yaani sijui tutoe muvi?
Muvi ya nini sweety...
Kila anaetaka ndoa aishi kwa ndoa yake....na afanye bidii!
 
Back
Top Bottom