"Sioni hata ndoa moja ya mfano itakayonishawishi kuolewa........!"

"Sioni hata ndoa moja ya mfano itakayonishawishi kuolewa........!"

kwanza mamaangu alishaniambiaga ukiachika tu, na ulaaniwe! so najikuta nipo tu hapo full kuvumilia! hata iweje, utoke uende wapi? lol! oleweni jamani na muoe! muione ngondo! ndoa raha mtu asiwatishe, ni vile uchezavyo tu!
 
Kwenye ndoa kila jambo linawezekana itategemea na utayari wa wanandoa..hasa kila upande kukubali mapungufu na mazuri ya mwenzake na kulindiana heshma. si kila ndoa ina vibweka
 
Ah ah ah.. Ina maana kweli kimoyo moyo hamuonei wivu Victoria... Ya mkosaji hayo.

Eti hakuna ndoa ya mfano... Kwani lazima mtu uwe na mfano ndo uamue... Kwa nini yeye asiwe mfano ...hajiamini eeh

Huyo anaonyesha kaukosa mkuyati wa kihalali, na ole wake mwanamke aukose mkuyati wa kihalali...lazima ataishia kuwa mwehu.
 
Mmh ngoja mie niobserve maoni ya wanandoa maana mawazo yangu hayatofautiani sana na huyo bibie Geri
 
kwanza mamaangu alishaniambiaga ukiachika tu, na ulaaniwe! so najikuta nipo tu hapo full kuvumilia! hata iweje, utoke uende wapi? lol! oleweni jamani na muoe! muione ngondo! ndoa raha mtu asiwatishe, ni vile uchezavyo tu!

Hapo kwenye BOLD cacico umenikumbusha nilipokuwa Kipatimo Kilwa, ndio nilipolisikia hilo neno...........
Kumbe ukioa au kuolewa utaiona NGONDO
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lipo kwa wanawake wenyewe ndo wanachangia kuvunja ndoa za wenzao.wanawake walio single,wanaojiuza na wengne wawagomee wanaume kuwapa kipoch utamu ,then tuone kama ufuska autakwisha adui wa ndoa ni wanawake wenzenu wanao jirahic kwa tamaa na njaaa zao
 
Ah ah ah.. Ina maana kweli kimoyo moyo hamuonei wivu Victoria... Ya mkosaji hayo.

Eti hakuna ndoa ya mfano... Kwani lazima mtu uwe na mfano ndo uamue... Kwa nini yeye asiwe mfano ...hajiamini eeh
Huyo si ajabu hata anampigia simu David Beckham kumtongoza.
 
kama anasema hajawahi kuona ndoa ya mfano, basi ye ndo angeanza kuwa mfano bora ili vizazi vijavyo vije kuona mfano kwake!
 
kama anasema hajawahi kuona ndoa ya mfano, basi ye ndo angeanza kuwa mfano bora ili vizazi vijavyo vije kuona mfano kwake!
Huyo unadhani hata anaweza ku ubeba mzega zega, nashaka sana atatimuliwa tu na mme wake baada ya week tu, mana anatakiwa kwanza afanye diet...naona hata diet imemshinda atauweza msumeno :biggrin1:
 
Nadhani huyu bibie ana bahati mbaya ya kuwa katika mazingira ya kuona ndoa zisizo na mfano.Zipo ndoa nyingi znuri zenye mfano mzuri na naweza kutoa mfano ya mojawapo kuwa ni yako Mtambuzi na mama Ngina.....So the statement is not valid to everyone..
 
Last edited by a moderator:
kama anasema hajawahi kuona ndoa ya mfano, basi ye ndo angeanza kuwa mfano bora ili vizazi vijavyo vije kuona mfano kwake!

Point taken maana watu wengi huwa wanaweka vigezo vingi kuhusu tabia za mtu amtakae wakati kitu nilichojifunza ni kuwa watu wengi wanatengenezeka japokuwa wachache wameshindikana hivyo anayo fursa ya kuwa mfano bora wa kuifanya ndoa yake iwe bomba kama alivyochangia RR kwamba Definite babe....hakika! Wanavyoona tunatabasamu hawajui ni matokeo ya kukubali kutofautiana...BTW: Njoo pm nikuagizie kitu....ada ya shule ya Aneth...
 
Last edited by a moderator:
mie sishangai,huku europe unakuta mtu kaolewa two times ,three times,kadivorce hakuna security kabisaa mie nashangaa why getting married only to divorce later?:sleepy:
 
Huyu anategemea akute ndoa nzuri mahali...yaani yeye aitumie tu!
Ndoa nzuri (bora) ni matunda ya juhudi za wawili!

Hapa nakupa like maana kila mmoja akiamini hivi nadhani wachache watatendwa maana unakuta mtu anataka mwanamke/mume mpole, muungwana kumbe ungwana na upole ni tabia inayotokana na malezi aliyokulia lakini kama ukimpata alafu ukam-treat vibaya hata kama ni mpole atakubadirikia. Ndoa nzuri hutengenezwa na wawili kwani sifa kuu za binadamu kutofautiana mitazamo ili muweze kuishi vizuri inabidi kuvumiliana sehemu zile mnazotofautiana kwani haiwezekani kila mnalopanga mkakubaliana
 
Nadhani huyu bibie ana bahati mbaya ya kuwa katika mazingira ya kuona ndoa zisizo na mfano.Zipo ndoa nyingi znuri zenye mfano mzuri na naweza kutoa mfano ya mojawapo kuwa ni yako Mtambuzi na mama Ngina.....So the statement is not valid to everyone..
Haya bwana................
 
Back
Top Bottom